Greatest Of All Time
Platinum Member
- Jan 1, 2017
- 26,550
- 62,019
- Thread starter
- #501
Kweli mkuu. Mchango wake ulipaswa utambuliweWamemsahau Cool James mtoto wa Dandu, aliyeanzisha tuzo za Kilimanjaro
Kweli mkuu. Mchango wake ulipaswa utambuliweWamemsahau Cool James mtoto wa Dandu, aliyeanzisha tuzo za Kilimanjaro
Mwasiti hakustahili kuwepoAfi hiyi mwasiti wala sio Juventus kihivyo maana ni wa miaka ya 2010
Mwasiti nae ni chawaMwasiti hakustahili kuwepo
Hiyo nafasi angeingia Dataz
Sister P
Au hata Jackline wa Mengi
Nunua vifaa vizuri mkuu 😁😁Chid anakoroma kama jenereta sisikii anachoimba, ila anakubalika sana
Vifaa gan zaidi ya tvNunua vifaa vizuri mkuu 😁😁
Wamenikerra sana wajinga hawaChidi ana vocal aiseee ila hao wanaomsaidia mmmmh!
Sema Chid raia wanamkubali tu
Tv pekee lazima usikie watu wakikoromaVifaa gan zaidi ya tv