UPDATES: Tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva | Mlimani City | 10.07.2026

UPDATES: Tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva | Mlimani City | 10.07.2026

Dully mwenye mziki wake amekuja kuamsha waliolala

Dhahabu isikose
Joslin aue kama kawaida yake.
Blue atadhalilika sana dhahabu ikipigwa
 

Attachments

  • PXL_20260710_223001086.jpg
    PXL_20260710_223001086.jpg
    2.2 MB · Views: 9
Tv pekee lazima usikie watu wakikoroma
Sounding ya hii event ni mbaya. Usitake kusema vifaa vya kusikilizia vinaweza fanya uchawi kurekebisha sauti mbovu ya kurekodia.

Sound engineer, hardware na hata mic inafanya vibaya kama ina latency hivi pale anapopishanisha sauti za mashabiki na yeye aimbe. Hii mic sio kwa ajili ya rappers, labda taarab.
 
Back
Top Bottom