Greatest Of All Time
Platinum Member
- Jan 1, 2017
- 26,550
- 62,019
- Thread starter
- #481
Sana mkuu..Motorola, LG, pia kulikuwa na Sony Ericsson sliding.... 😊
Kabla ya bluetooth nawakumbusha watu kulikuwa na infared
Sana mkuu..Motorola, LG, pia kulikuwa na Sony Ericsson sliding.... 😊
😁😁😁Nahisi akitoka Mwasiti anaingia Chid
Wanatabirika hawa kama wale wa bongo movie
Sana mkuu..
Kabla ya bluetooth nawakumbusha watu kulikuwa na infared
Ilikuwa mtihani😂😂Kuitumia sasa, ! 😁
Wamemsahau Cool James mtoto wa Dandu, aliyeanzisha tuzo za KilimanjaroMiaka 30 ya bongo fleva lazma pia tuwakumbuke baadhi ya wadau wa media walio-push mziki huu
Lazma tutambue mtu kama Salama Jabir, Sauda Mwilima na hata Frank Mtao.
🔥🔥Akigonga dar es salaam stand up chid atasepa na Kijiji