Kumbe ni muhenga kidogo,,si mbaya sana japo wewe mdogo wangu
Age imesonga. 😊
Kumbe ni muhenga kidogo,,si mbaya sana japo wewe mdogo wangu
Tukumbushe mkuu show gani ya mwisho huko mbele unakosema ilikusanya ututiri wa wasaniii kama hivyi.....tofautisha shows za wasanii tupu na show za awards kama MTV,BET nkNiumasikini wako tu kuona laki nipesa ndefu kwenye suala la burudani, kuwaona tu malegend on stage inatosha kulipia pesa mingi huko mbele wanalipa madollar mengi tu kwajambo kama hili
Wimbo gani mkuu?Hapa namsikiliza domokaya😊☺️
"...nani alitaka kunitoa roho penzi likafika mwisho...." 🎶🎵.Nime mkumbuka asilimaireee 20%%%%
Wamemsahau
Enziiii
izo Kila harusinii utasikia MTOTO TULIA SISI NDIO TUMEMCHAGUA...
Sio mshamba hii ndio standard mkuu....jana haikuwa show ilikuwa kupeana vionjo alafu ni kama vile wasanii walikuwa na vimeo vya ada tu kwa watoto wao so wamekuja kuclear vipengele.TID alisema hafanyi show local,eti anataka aitwe pekeyake
Jamaa mshamba sana
D knob ameokoka siku hataki tena hizi mambo
Nani huyuu 🔥🔥"...nani alitaka kunitoa roho penzi likafika mwisho...." 🎶🎵.
🔥🔥
Twenty %.Nani huyuu 🔥🔥
Mimi na mshikaji mmoja anaitwa ya crew ya waswahiliWimbo gani mkuu?
Dah, RIP Mandojo.
Noma sana kaka. Vipi jana waweka msingi wa bongo flava walikukosha?Mimi na mshikaji mmoja anaitwa ya crew ya waswahili
Ingia you tube WIMBO PENGO_WASWAHILI.... Jamaa anae imba verse ya piliii
Jamaa wa Huwa tuna maskani Huwa tuna itana jamaa anapiga Gita lake tuna omba nyimbo zoteee za mandojo na domokaya kuna ngoma inaitwa NIAJEEE HATUPATANIII....
Verse
Usipo nisikiliza utanielewa vipi/ mnnanita loser.. navaa napendeza
Icho kipindii ndio nafahamu nani rafiki nani adui...
Chorus
🤣🤣🤣 haya bana.Enzi hizo mtani😆
Nikiangalia na familia mwanzoni nilipo fika home baada muda pombe na usingiziii naamka saa sabaaNoma sana kaka. Vipi jana waweka msingi wa bongo flava walikukosha?
Yeah, lile tamasha la wasanii wa zamani hata ukiangalia na watoto wako unakuwa huru. Haina ukakasi mwingi.Nikiangalia na familia mwanzoni nilipo fika home baada muda pombe na usingiziii naamka saa sabaa
Jamaa alichagua brand ngumu sana.Yaani Temba mambo yake
Hadi kwenye msiba wa yule mdogo wake waliyemkata kichwa
Alienda na Toothpick
Na uzee wote bado ameng'ang'ana na mitoothpick
Sehemu zote yupo hivyohivyoJamaa alichagua brand ngumu sana.
Hivi na mtaani anawekaga hiyo toothpick?
Ni dharau zile Kwa mwenzie.Sio mshamba hii ndio standard mkuu....jana haikuwa show ilikuwa kupeana vionjo alafu ni kama vile wasanii walikuwa na vimeo vya ada tu kwa watoto wao so wamekuja kuclear vipengele.