Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
Hivi kichuya anaitwaga stars kufanya nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe hautakuwa mtu wa mpira,yule sio malaika kila mechi imnyokeesamatta hakuna kitu
Kisa hajafunga?samatta hakuna kitu
Hujamuona alichokifanya mkuu bao la pili nani kalipikaHivi kichuya anaitwaga stars kufanya nini?
Umetazama mechi?au unaongelea chumbani kwa mumeo?muulize Mzuva nani kampasia kabla ya kufungaHivi kichuya anaitwaga stars kufanya nini?
Akili za watu waliodumaa mkuu usipate tabu naeWewe hautakuwa mtu wa mpira,yule sio malaika kila mechi imnyokee
Huyo mleta mada ana tatizo. Kichuya katoa assist ya mwisho kwa goli la pili. Lakini pia alikuwa anacheza nyuma ya MsuvaHujamuona alichokifanya mkuu bao la pili nani kalipika
Au????
dah we acha tu,labda kocha anataraj kona ztaingia zenyeweHivi kichuya anaitwaga stars kufanya nini?
zaid ya kumpasia kuna kingine kafanya?Umetazama mechi?au unaongelea chumbani kwa mumeo?muulize Mzuva nani kampasia kabla ya kufunga
haya nenda kacheze nao makirikiri
zaid ya kumpasia kuna kingine kafanya?
Juzi walifukua fuvu uwanjani labda lile ndo fuvu la mwendawazimu. Wamelitoa tumeanza shindaHongera TAIFA stars