Updates Tanzania vs Botswana

Updates Tanzania vs Botswana

Hongera kwa wachezaji kutupatia ushindi tuendelee kupanda walau rank za fifa.
 
hawa kawaida yao mamechi ya kirafiki kushinda, ngoja sasa iwe kufuzu kombe la afrika ndo utaona true colours zao
 
Tanzania vs Botswana ... ndani ya miezi miwili tumecheza nao. Wao ni namba 140 katika orodha fifa ... Tanzania ni ya 120. Na mechi zote tumecheza Tz. Tff watafute nchi zilizopo juu yetu tucheze nazo. Kwa mechi hizi changamoto ni ndogo mno. Sijui kuna tatizo gani???
 
Back
Top Bottom