Updates: Upo maeneo gani, matukio gani kuelekea kuingia mwaka mpya 2018?

Kwa pembeni japo kizazi cha firauni hakijadimika[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Nimecheka sana hapo.

Ila hiyo mbinu yako kiboko ila nadhani wapo wanaokulaaani kichinichini na kuuma meno na vidole kwa hasira.
 
Haahhahaa kuzurula tu kuijua dunia, nakushangaa umekaa tuu hapo kwako maghorofani usiende hata nyumbani park, viber, nyamatandala, Motown, black & white ili uuanze mwaka vzr
Viber + samaki samaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…