Mpigamsuli
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 3,885
- 582
Njoo mkuu Usiogope, usione aibu! Panda bodaboda nalipaEndelea tu na hao watoto wakali mm mpole sana mkuu[emoji3] [emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo mkuu Usiogope, usione aibu! Panda bodaboda nalipaEndelea tu na hao watoto wakali mm mpole sana mkuu[emoji3] [emoji3]
Haha, asante bwana!Njoo mkuu Usiogope, usione aibu! Panda bodaboda nalipa
Pamoja mkuu....Haha, asante bwana!
Unajua nmekusubiri mama [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu mm hao matajiri hawapo kwenye connection zangu napita tuMo fe lowo bi Adenuga
Teh teh teh tuliamshe na dude pia[emoji23] [emoji23] [emoji23]naja tuamshe powpow
Mje na bigwa jamani na sisi tupo Moro.ahahha mie kote huko kivuruge ! mie kijiwe changu blak n whte aisee !na ni active member
muhimu aisee!damu bado zinachemkaa ujueTeh teh teh tuliamshe na dude pia[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa pembeni japo kizazi cha firauni hakijadimika[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Nipo Coco beach na Wana familia wangu ninaoishi nao kwa Sasa!
Hii ni mbinu yangu kongwe kudhibiti waruka fensi na kwenda kusikojulikana usiku wa Mikesha
Hapa ni Kama Jeshini kwangu ni mwendo wa kuhesabu namba, najua wapo wanaonilaani sana lakin ni kwa Nia njema tu!
Tumezungusha Mduara wa Viti na Soft drink na Kahawa kwa sie wengine na kibaridi hiki japo kwa pemben yetu kizazi cha Firauni nacho hakijaadimika wapo
Nyakati hizi huwa pia najikumbusha Ndugu na Jamaa zangu ambao Miaka ya Nyuma tarehe Kama Hii tulikuwa nao eneo hili Miaka kadhaa iliyopita lakin Leo Hii miili Yao ni sehemu ya Matabaka ya udongo
mmmm hilo jina linanitoa mate mate mana ni wataalamu sana wa kumtengeneza yule kitoweoUpo Contener nn?
Njoo chukua usafiri nakuja kulipa 2018 tuanze vyemamuhimu aisee!damu bado zinachemkaa ujue
Viber + samaki samakiHaahhahaa kuzurula tu kuijua dunia, nakushangaa umekaa tuu hapo kwako maghorofani usiende hata nyumbani park, viber, nyamatandala, Motown, black & white ili uuanze mwaka vzr
Nakuona nakuona. Mualiko jmnheehehe nipo yespa ghorofani mie
Hahaaa asikudanganyeteh teh !wamaanisha umewasiliana na Ngariba1 ?
Hatarii, wana mdudu safi kabisaa!mmmm hilo jina linanitoa mate mate mana ni wataalamu sana wa kumtengeneza yule kitoweo
Hapo siku hz wahuni wengi!Viber + samaki samaki
we hufai ! walah hufaiii!i wish niwe nakusalimia shikamoo every morningNakuona nakuona. Mualiko jmn
Mje na bigwa jamani na sisi tupo Moro.
Hakna kiwanja cha maana sana mkuu tumekusanyika tunafurah.kinachoendelea kwa sasa ni baruti tu.hahaa bigwa mna kiwanja gan sasa hapo