Hapa hawatokei dawa yao hawa kuwatimbia kule kule kwenye uzi wao wa waganga fc....
Wametoboa mtumbwi na wenyewe wapo humo humo eti wanamkomoa mnyama ovyo kweli hawa!
Wachawi fc uzi wao kule hauonekani bwashee wameuloga umepotea ghafla,,Hapa hawatokei dawa yao hawa kuwatimbia kule kule kwenye uzi wao wa waganga fc....
Wametoboa mtumbwi na wenyewe wapo humo humo eti wanamkomoa mnyama ovyo kweli hawa!
JuziLini nilikufa?
Kwahiyo kubadilishiwa uwanja kuliwaathiri kindumbalojia?!!!😀😀😀Nahodha wao Tshishimbi akihojiwa baada ya mchezo;
"Anasema walikuwa wanajua leo wanacheza Taifa sasa kubadilishiwa uwanja na kucheza Uhuru kuliwaathiri Kisaikolojia".
Kumbe Taifa ndo hutega vibuyu vyao vya ulozi ha ha ha [emoji23][emoji3]
Kwahiyo kubadilishiwa uwanja kuliwaathiri kindumbalojia?!!![emoji3][emoji3][emoji3]
Nawaangalia Halafu Nasema Hii Bhaghoshaa
Khaaaaa [emoji3]Vyura wanejisahau eti wanadai KMC wamenunua mechi
Ni aibu kubwa kwako na klabu kuamjni masuala ya uchawi mpirani kwa Zama hizi...ni aibu kubwa