Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,267
Umenichekesha sana mkuu, embu nenda kawachomoe huko kambini kwao[emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa hawatokei dawa yao hawa kuwatimbia kule kule kwenye uzi wao wa waganga fc....
Wametoboa mtumbwi na wenyewe wapo humo humo eti wanamkomoa mnyama ovyo kweli hawa!