Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Wahenga walisema akutukanae havhagui tusi! Hivi hukumbuki wakati ule mpaka Papaa Zahera akama "Boo, Simba wako na timu nzuurii, bana pasi mpiya saanaa, halafu banatia kunyavu" 😀Uwezo gani huo? Wa kutoa ist au wa miamala? Teh teh.
Ndio kilichobakia Mtani ili kujipoza machungu ya tarehe 08.
Yanga ni kama Wolper, wakubwa anawabania ila wadogo anawapa
pole kwa ugonjwa unaokusumbua, naimani utapona hv karibuni, vp umeshamaliza dozi?Ndio kilichobakia Mtani ili kujipoza machungu ya tarehe 08.
Hivyo tuiteni mutuitavyo ila machungu ya kipigo hayafutiki.
😳😳🤔pole kwa ugonjwa unaokusumbua, naimani utapona hv karibuni, vp umeshamaliza dozi?
vip umejiandaaje na mvua za msimu huu, umeshapanda tayari?😳😳🤔
🚶♀️🚶♀️🚶♀️
Sasa kwa nini ulogwe wewe peke yako? [emoji23][emoji23] Una kipi cha ziada ambacho timu zingine hawana?
Ahsante Mkuu.Ila
Shadeeya hongera.... ni mshabiki peke wa yanga ninaemuona humu kwenye kila uzi... anayekubali hali zote na hukimbiagi.. ukikuta uzi wa kuinanga Yanga unawafata simba humo humo na kuwajibu... napenda majibu yako sio ya kinafiki unakubali matokeo ila pia unajipoza pia kwa kuwapa simba vipande vyao......
Weee!! Maneno mlizo nazo shabiki wa simba zinahitaji moyo mgumu hasaa kuzivumilia.Waambie wenzio gongowazi fc kuwa wasiwe wanaonekana wakiwa wameshinda...
Mefurahi kuongeza Idadi ya Watani.By the way i am simba fan also [emoji1] ila respect kwako
Sent from my iPhone using JamiiForums
vip umejiandaaje na mvua za msimu huu, umeshapanda tayari?
Hata mie nilitaka kusema hivyo hivyo yani huyu.. ndala fc damu😂 wenzake wengi huwa wanatokaga nduki pindi timu yao inapopitia kipindi kigumu lkn huyu ana moyo wa ujasiri hakimbiagi kiukweli. Yani hata mie sina moyo kama wake😂.... im real i like her👊 salute nyingi sana kwake mkuu SHADEEYA!!Ila
Shadeeya hongera.... ni mshabiki peke wa yanga ninaemuona humu kwenye kila uzi... anayekubali hali zote na hukimbiagi.. ukikuta uzi wa kuinanga Yanga unawafata simba humo humo na kuwajibu... napenda majibu yako sio ya kinafiki unakubali matokeo ila pia unajipoza pia kwa kuwapa simba vipande vyao......
Waambie wenzio gongowazi fc kuwa wasiwe wanaonekana wakiwa wameshinda...
By the way i am simba fan also [emoji1] ila respect kwako
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kwa uchokozi tu hujambo.Leo Jerry Muro na kamati yake ya Ulozi baada ya kufika kwa Mganga wao aliambiwa "You entered a wrong password" [emoji23] [emoji23]
Kumbe ile password ya Ushindi aliyokujanayo ime-expire baada ya game na Simba tu! [emoji23] [emoji23]
CC: Shadeeya
Yabidi aisee Mtani.nimekupenda bure Shadeeya una roho ngumu mtani,uwe unaniazima hiyo roho ngumu siku nikifungwa
Muache mzee wa vigele gele wetu. 😎😎
matokeo yana mipira matatu
Tulia Mtani. Hiyo game tunashinda.
Umehamia lini huko we Mikia? Mimba ilishaingia 8/3/2020 tuko honey moon na wewe ujue.Goooooooooooooooo KMC 1- 0 Yanga
KMC tunapata goli la kwanza hapa dhidi ya Yanga mbovu
Shem Timu ya Wananchi inatuangusha aisee.Umehamia lini huko we Mikia? Mimba ilishaingia 8/3/2020 tuko honey moon na wewe ujue.