Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Wah
Sasa leo wewe unasema tunashinda kwa ist! Mi naomba kweli tukutane FA
Wahenga walisema akutukanae havhagui tusi! Hivi hukumbuki wakati ule mpaka Papaa Zahera akama "Boo, Simba wako na timu nzuurii, bana pasi mpiya saanaa, halafu banatia kunyavu" 😀Uwezo gani huo? Wa kutoa ist au wa miamala? Teh teh.
Sasa leo wewe unasema tunashinda kwa ist! Mi naomba kweli tukutane FA