Updates: Uzinduzi wa Kishujaa wa jezi ya Mnyama Simba Sc

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001



Leo ni SIKUKUU ya kibegi kufika kwenye kilele cha Mlima wa Kilimanjaro mita 5,895 juu ya usawa wa bahari.

Wapanda mlima Mashabiki wa Mnyama wako kwenye hali salama ya kufika kileleni leo.

Jioni ya leo Simba kuandika Historia Tanzania na Duniani.

Tutaendelea kuwaletea matukio zaidi kuelekea kwenye kilele cha mlima wa Kilimanjaro na uzinduzi rasmi saa 1 kamili jioni ya leo.

Uko tayari kwa uzi mpya ❓

 

Attachments

  • Ins52160607660_41b184089a3745a7819fb9e88592306a_361926883_581893524154412_6829329313753697742_n.jpg
    342.4 KB · Views: 5
  • Ins52160607660_2ab13f0e3c9a47d8ad7ba482749d06b0_361978535_670450694505625_4733960177119251907_n.jpg
    383.7 KB · Views: 4
  • Ins52160607660_18b36ec9cadb492eb91fb7bdc4bf1105_361744619_980725283353550_5992560171774580472_n.jpg
    487.3 KB · Views: 4
Kupanda mlima Kilimanjaro siyo jambo la ajabu au la kishujaa. Hata walemavu wanapanda na kushuka
 
Ahmed Ally yuko Wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…