Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Sio mmezidiwa?hapana hatuumwi ila tunauguza wagonjwa kama wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio mmezidiwa?hapana hatuumwi ila tunauguza wagonjwa kama wewe
Ahahah ila mseme ukweli tuwasaidieHapana unaumwa wewe ugonjwa wa kibegiphobia
Zile za Yanga zilizokua zinapepea kule Kilimanjaro Mlimani mnaj8fanya hamkuziona?View attachment 2695072
View attachment 2695073
Leo ni SIKUKUU ya kibegi kufika kwenye kilele cha Mlima wa Kilimanjaro mita 5,895 juu ya usawa wa bahari.
Wapanda mlima Mashabiki wa Mnyama wako kwenye hali salama ya kufika kileleni leo.
Jioni ya leo Simba kuandika Historia Tanzania na Duniani.
Tutaendelea kuwaletea matukio zaidi kuelekea kwenye kilele cha mlima wa Kilimanjaro na uzinduzi rasmi saa 1 kamili jioni ya leo.
Uko tayari kwa uzi mpya ❓
Umsaidie nani ?Ahahah ila mseme ukweli tuwasaidie
Mmezindulia kule jezi zenu au kimbelembele chenu kuona mnyama anaenda kuzindua jezi kule mlimani mtembee na upepo wa kibegi?Zile za Yanga zilizokua zinapepea kule Kilimanjaro Mlimani mnaj8fanya hamkuziona?
Za kwanza kuzinduliwa mlimani au mnaona wivu ikabidi na nyie mtembelee upepo wa kibegi cha simba? Huu mwako lazima mtapike pilau la s100Hatuna habari yao, ila wana habari yetu ya siku yetu Asante...
#Since 1935
#jezizayangazakwanzakufikakileleni
Ila wanafanya mambo mazuri utalii unasambaa wanaofuatilia duniani huko wataona na mlima wetu hahahaView attachment 2695072
View attachment 2695073
Leo ni SIKUKUU ya kibegi kufika kwenye kilele cha Mlima wa Kilimanjaro mita 5,895 juu ya usawa wa bahari.
Wapanda mlima Mashabiki wa Mnyama wako kwenye hali salama ya kufika kileleni leo.
Jioni ya leo Simba kuandika Historia Tanzania na Duniani.
Tutaendelea kuwaletea matukio zaidi kuelekea kwenye kilele cha mlima wa Kilimanjaro na uzinduzi rasmi saa 1 kamili jioni ya leo.
Uko tayari kwa uzi mpya ❓
Mkiambiwa hapo utopoloni kabwili ni wengi mnabisha mambo gani haya ya kuchunguza wanaumeKolos mnajitekenya na kucheka wenyewe 🤣,given afisa digital wa makolo akaona isiwe tabu arudi tu baada jeans yake ya buku 7 kwa vunja bei kuchanika
View attachment 2695097
mbwembwe nyingine bwanaView attachment 2695072
View attachment 2695073
Leo ni SIKUKUU ya kibegi kufika kwenye kilele cha Mlima wa Kilimanjaro mita 5,895 juu ya usawa wa bahari.
Wapanda mlima Mashabiki wa Mnyama wako kwenye hali salama ya kufika kileleni leo.
Jioni ya leo Simba kuandika Historia Tanzania na Duniani.
Tutaendelea kuwaletea matukio zaidi kuelekea kwenye kilele cha mlima wa Kilimanjaro na uzinduzi rasmi saa 1 kamili jioni ya leo.
Uko tayari kwa uzi mpya [emoji780]
Mkiambiwa hapo utopoloni kabwili ni wengi mnabisha mambo gani haya ya kuchunguza wanaume
Halafu makolo wanakuambia awafuatilii habara za YangaKasema anaijua kwa sababu walikuwa mara ya mwisho na kuwafunga .Hapo hakuna Maajabu bora ingekuwa amesema anaijua kwa sabubu ni timu kubwa au yenye mafanikio ila ajabu dundukaz wanashangilia hilo kama kombe.
Vuovyote utakavyoelewa ila ujumbe ndio huo.Kasema anaijua kwa sababu walikuwa mara ya mwisho na kuwafunga .Hapo hakuna Maajabu bora ingekuwa amesema anaijua kwa sabubu ni timu kubwa au yenye mafanikio ila ajabu dundukaz wanashangilia hilo kama kombe.
Wenzenu wamefika kule hata ninyi hamjawaza. Mlipoona wamezipeperusha ndiyo nanyie mkabeba kibegi mkafanye hicho mnaita uzinduzi. Uzinduzi amnao hauna kiongozi wa timu hata mmoja.Mmezindulia kule jezi zenu au kimbelembele chenu kuona mnyama anaenda kuzindua jezi kule mlimani mtembee na upepo wa kibegi?
mnamind vitu vidogo vidogoahmed amezingua, alitakiwa na yeyey awepo.