Mi bishoo tu
Senior Member
- Jun 3, 2023
- 122
- 294
Sakata la wananchi wa Magu kurushia mawe magari ya abiria yanayoingia na kutoka Barabara ya Mwanza-Musoma na zile Barabara ndogo ndogo limeendelea leo ambapo Vurugu za Leo zimekuwa maradufu ukilinganisha na zile za Jana. Madai ya wananchi ni kwamba Mkuu wa mkoa aliwaahidi kufika na kuongea nao lakini hajatokea. Hali hii imepelekea hasira Kwa wananzengo na pia imepelekea biashara kuendelea kufungwa mapema kabisa likiwemo gulio maarufu la jumamosi. Ila dreva unagongaje abiria eneo la zebra?
Pray for Magu🙏
Pray for Magu🙏