Mi bishoo tu
Senior Member
- Jun 3, 2023
- 122
- 294
Kukosa busara huku ni fueling hasiraHao hasira zao wanamalizia kwa watu wasio na hatia.
Ungeweza kuwakilisha ujumbe wako bila kutumia lugha ya kuudhi ingekuwa poa sanaHao hasira zao wanamalizia kwa watu wasio na hatia.
Wametumwa na CCM hao ili ionekane Nchi hii hali ya usalama ni ndogo hivyo wazuie mikutano na majumuiko ya Raia wemaSakata la wananchi wa magu kurushia mawe magari ya abiria yanayoingia na kutoka Barabara ya Mwanza-Musoma na zile Barabara ndogo ndogo limeendelea leo ambapo Vurugu za Leo zimekuwa maradufu ukilinganisha na zile za Jana. Madai ya wananchi ni kwamba Mkuu wa mkoa aliwaahidi kufika na kuongea nao lakini hajatokea. Hali hii imepelekea hasira Kwa wananzengo na pia imepelekea biashara kuendelea kufungwa mapema kabisa likiwemo gulio maarufu la jumamosi. Ila dreva unagongaje abiria eneo la zebra?
Pray for Magu🙏
🤷Sakata la wananchi wa magu kurushia mawe magari ya abiria yanayoingia na kutoka Barabara ya Mwanza-Musoma na zile Barabara ndogo ndogo limeendelea leo ambapo Vurugu za Leo zimekuwa maradufu ukilinganisha na zile za Jana.Madai ya wananchi ni kwamba Mkuu wa mkoa aliwaahidi kufika na kuongea nao lakini hajatokea.Hali hii imepelekea hasira Kwa wananzengo na pia imepelekea biashara kuendelea kufungwa mapema kabisa likiwemo gulio maarufu la jumamosi.Ila dreva unagongaje abiria eneo la zebra?
Pray for Magu🙏
Amos anausikaje hapo sasaKwani mkuu wa mkoa anashindwa nini kwenda awasikilize watoe dukuduku lao then mambo yaishe? Amos Makala anakuwaga na kauzembe fulani a kind of umwinyi.
Sakata la wananchi wa magu kurushia mawe magari ya abiria yanayoingia na kutoka Barabara ya Mwanza-Musoma na zile Barabara ndogo ndogo limeendelea leo ambapo Vurugu za Leo zimekuwa maradufu ukilinganisha na zile za Jana.Madai ya wananchi ni kwamba Mkuu wa mkoa aliwaahidi kufika na kuongea nao lakini hajatokea.Hali hii imepelekea hasira Kwa wananzengo na pia imepelekea biashara kuendelea kufungwa mapema kabisa likiwemo gulio maarufu la jumamosi.Ila dreva unagongaje abiria eneo la zebra?
Pray for Magu[emoji120]
Hata kama ni eneo la zebra ,mtembea kwa miguu bado ana wajibu wa kufanya kabla ya kuvuka.Tatizo kubwa mtu akiwa kwenye zebra anajiona kama ni sehemu salama kabisa,kitu ambacho sio sahihi.Sakata la wananchi wa magu kurushia mawe magari ya abiria yanayoingia na kutoka Barabara ya Mwanza-Musoma na zile Barabara ndogo ndogo limeendelea leo ambapo Vurugu za Leo zimekuwa maradufu ukilinganisha na zile za Jana.Madai ya wananchi ni kwamba Mkuu wa mkoa aliwaahidi kufika na kuongea nao lakini hajatokea.Hali hii imepelekea hasira Kwa wananzengo na pia imepelekea biashara kuendelea kufungwa mapema kabisa likiwemo gulio maarufu la jumamosi.Ila dreva unagongaje abiria eneo la zebra?
Pray for Magu🙏
Kama ni watoto au vijana wadogo under 18 ni wajibu wa dereva kuchukua tahadhari.......kuwagonga watoto au vijana wadogo tena kwenye zebra ni uzembe wa hali ya juu, madereva wengi wa maeneo hayo wanaona kuendesha kwa mwendokasi kupindukia ni jambo la kujisifia, full ulimbukeni.Hata kama ni eneo la zebra ,mtembea kwa miguu bado ana wajibu wa kufanya kabla ya kuvuka.Tatizo kubwa mtu akiwa kwenye zebra anajiona kama ni sehemu salama kabisa,kitu ambacho sio sahihi.
Wamesema wanataka mkuu wa mkoa aende akawasikilize. Hakuna sababu ya mkuu wa mkoa kukaidi kuwasikiliza hao wananchi as long ni katika kupunguza vurugu na maafa yanayoweza kutokea zaidi sababu wanafunga barabara, hiyo yaweza kupelekea watu kufariki kwakukosa kwenda hospital nk.Amos anausikaje hapo sasa
ofisi ya mkuu wa mkoa, usisahau kuwa imejengwa kwa kodi zetu. kikubwa wapunguze ujinga, maana kuacha hawawezi.Wakapige mawe ofisi ya mkuu wa mkoa waache ujinga
Kwan lazima??????Wamesema wanataka mkuu wa mkoa aende akawasikilize. Hakuna sababu ya mkuu wa mkoa kukaidi kuwasikiliza hao wananchi as long ni katika kupunguza vurugu na maafa yanayoweza kutokea zaidi sababu wanafunga barabara, hiyo yaweza kupelekea watu kufariki kwakukosa kwenda hospital nk.
Kutumia nguvu ya polisi kila wakati huwa sio njia sahihi ya kukabiliana na changamoto ndogo za namna hii kama kiongozi inaweza kumletea doa kiutendaji.
RC anashindwa nini kupita hapo na kuwasikiliza then akatoa amri watawanyike anafanyia kazi na yakaisha salama?
yuko barabarani anachukulia yuko chumbani kwake! Barabarani ni barabarani tu, umakini unatakiwa haijalishi ni zebra ama antelope.Hata kama ni eneo la zebra ,mtembea kwa miguu bado ana wajibu wa kufanya kabla ya kuvuka.Tatizo kubwa mtu akiwa kwenye zebra anajiona kama ni sehemu salama kabisa,kitu ambacho sio sahihi.
Sidhani kama kuna dreva anayeweza kufanya hivyo kwa makusudi,vyombo hivi vina matatizo ya kiufundi pia,ndio maana kabla hujavuka ujiridhishe je dreva ameniona?!Kama ni watoto au vijana wadogo under 18 ni wajibu wa dereva kuchukua tahadhari.......kuwagonga watoto au vijana wadogo tena kwenye zebra ni uzembe wa hali ya juu, madereva wengi wa maeneo hayo wanaona kuendesha kwa mwendokasi kupindukia ni jambo la kujisifia, full ulimbukeni.