Updates:Vurugu zaendelea Tena magu Kwa siku ya pili

Hata kama ni eneo la zebra ,mtembea kwa miguu bado ana wajibu wa kufanya kabla ya kuvuka.Tatizo kubwa mtu akiwa kwenye zebra anajiona kama ni sehemu salama kabisa,kitu ambacho sio sahihi.
Kugonga mtu zebra [emoji3070] cross ni uzembe mkubwa sana acha kupindisha maneno, hakuna excuse hapo.
 
Kugonga mtu zebra [emoji3070] cross ni uzembe mkubwa sana acha kupindisha maneno, hakuna excuse hapo.
Huo ni mtizamo wako,kasome sheria za usalama barabarani,wajibu wa dreva na pedestrian kwenye zebra crossing!!!na ndio maana hata sasa wanafunzi wanafundishwa,jinsi ya kuvuka.
 
Mkuu wa Mkoa alikuwa buss na Mondi Ili kuhujumu mkutano wa CDM bila mafanikio!!

Kesho atawajieni labda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…