Updates: Yanayojili Safari ya wanakawe kuelekea mji wa Birmingham Marekani

Uliahidiwa katiba na JK alikupatia?
Hebu kaandamane Kwanza huko.
Hizi ni chuki zako kwa Gwajima kupinga chanjo..

Huoni janga la Corona wewe?au unataka ukatuletee Delta?
Pambana na hali yako.
 
Uliahidiwa katiba na JK alikupatia?
Hebu kaandamane Kwanza huko.
Hizi ni chuki zako kwa Gwajima kupinga chanjo..

Huoni janga la Corona wewe?au unataka ukatuletee Delta?
Pambana na hali yako.
mbona sikuelewi
 
Be careful na Hawa watu wanaojiita Man of God.

Unamkumbuka Kibwetele?
 
Umesoma thread na kuelewa au unademka tu Kama Jumong?
Mkuu jaribu kuhusisha fikra zako kichwani ziungane na mikono yako kwa unachokiandika...

Hii ni forum ambayo unaweza kujibu au kuuliza chochote kilichopo within..., Hivyo kama habari inaongelea kwenda Birmingham Marekani.., na picha ya Birmingham City iliyowekwa inafanana na Birmigham iliyopo UK..., kuna kosa gani kuuliza kama hapa ni UK au ni Birmingham ya Amerika ambayo mji wake ni exactly the same kama UK ?

Kumbuka hii sio Question and Answer forum ni Discussion Forum ambayo mijadala ni pamoja na maswali na kueleweshana....
 
haujakosea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…