Updates: Yanayojili Safari ya wanakawe kuelekea mji wa Birmingham Marekani


Labda mwende kolomije
 
😁 kwaherini wanakawe, tutawamiss...mkirudi mtuletee zawadi huko.

Wakati mbunge wenu anawaandaa muende mbelezzz sie mbunge wetu ametuletea tozo.
 
Kwahiyo chama cha mapinduzi kinagharamia nauli! Asante chama sikivu.
 
Tapeli gwajima anaweza kuahidi lolote. Mnakumbuka ahadi ya kumfufua Amina Chifupa? Basi tieni akilini mmeliwa mchana kweupe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…