Chery wazindua AI Robot aitwae
Mornine
Chery kampuni ya magari, ambayo ni kampuni mama ya Omoda na JAECOO sasa waja na robot lenye muonekano kama mtu liitwalo Mornine.
Hawajataja specifically sifa za huyu robot, ila wametuambia tu majukumu yake makuu matatu ambayo anaweza kufanya:
1. Smart waiter au muhudumu katika maduka madogo madogo.
Hapa atawapatia wateja msaada kwa kutoa information mbalimbali watakazo uliza, kwa mfumo wa Question & Answers au kuchagua topic.
Mfano: Bank, badala ya kua na desk la enquires unakua na uyu robot ambae atajibu baadhi ya maswali ya wateja mfano taratibu za kufungua account etc.
Pia katika shopping malls, mfano mteja kuuliza bidhaa flani inapatikana wapi etc.
2. Anaweza kua rafiki/companionship wako nyumbani.
Hujawahi kua bored hadi unamuuliza Siri au Google "What is the distance from Dar es Salaam to the Moon"?
Sasa Mornine atakuja kua wise friend wako, asie boa wala asiepiga majungu behind your back.
Kwa kuact kama intelligent house assistant atakua anakukumbusha vitu mbakimbali kuanzia vya kuhusu kazini, tasks za home, recipes mbalimbali etc.
3. Viwandani wanaweza kumtumia kudevelop na kuoptimize kazimbalimbali kutegemea matakwa ay objective zao.
Wale teamk KataaNdoa hawaweza kumtumia kwa matumizi mengine yoyote. Huyu sio kama alietuahidi Bwana Elon Musk.