Updates za kifo cha Afande Luteni Kanali Muna aliyeuawa Kawe kwa kuchomwa kisu na dereva bajaji Kato

Nasikitika familia inepoteza baba
Nasikitika serikali imepoteza asset.

Nasikitika Jeshi hasa MP wa Lugalo wana act kama wanafunzi wa Tambaza ile iliyofungiwa. Kama mtuhumiwa ameshakamatwa, je raia wana kosa gani?

Nashauri wananchi wassidiwe kuwapeleka mbele ya sheria kikosi cha MP kinachoendesga kipigo kwa wananchi.

CCM imetufikisha mahala ambapo kuna walio juu ya sheria, wenye sheria na sheria yenyewe kuwa mtu binafsi.

Utii wa sheria ni ibada ya haki kwa nchi inayoheshimu haki za binadamu
 
Umeandika uwongo mwingi sana. Huna habari kamili umekurupuka
 
Wanajeshi ni wajinga sana. Safi sana kijana kwa kuua huyo mjinga. Raia tushike hapo hapo akileta ubabe toa tu roho. Akalete ubabe wake kwa funza huko kaburini.
 
Kitu walichokosa watu WA ulinzi tz ni kuheshimu kila mtu wanatakiwa wafundwe sana iyo issue,nahisi ni tofauti na nchi nyingine zilizoendelea kijeshi,
 
Wanajeshi waache ubabe. Kuna uzi hapa Jf uliwaonya kuacha ubabe, vinginevyo wananchi wakikasirika hawana kwa kukimbilia.
GYNTAMYCINE umeandika vizuri, lakini badili hiyo avatar. Huyo ni kichaa, kapoteza imani kwa watu. Muuwaji.
Ni mimi ndiye nilileta huo uzi
 

Yaani umeniwekea maneno mdomoni, nilitaka kuandika kuwa inakuwaje Jeshi linabehave kama wale watoto watukutu wa Tambaza wa zamani , eti wanaenda kuanzisha "Zali".

Umenikumbusha enzi hizo Mmoja wa wanafunzi hao akikorofishana na Kondakta wanaenda kuitana na kuleta fujo kwa makondakta wote barabarani. Ujinga mtupu!

Hebu jeshi lianze kuact professionally, siyo ujinga ujinga huu wa kuleta fujo mitaani kama wa watoto wa sekondari wa zamani
 
Poleni kwa familia ya mwanajeshi pole kwa kato kwa maana hivyo ndivyo wanajeshi walivyo
Kuna safari moja nikiwa ktk duka langu maneneo flani kitu kilichokuwa kinaniboa watu wenye magari kuja kupaki gari mbele ya duka hili jambo nilikuwa kila siku napambana na watu sasa kuna siku akaja jamaa mmoja akapaki gari lake mbele ya duka langu kibaya hakufunga kioo nikamfata na kumwambia naomba ufunge kioo maaana unaweza ibiwa halafu ukatusumbua wakati sisi hapa tunafatuta hela hatutaki kupoteza muda kugombana na mtu hiyo nguvu naiwekeza kutafuta hela akajibu kwa nyodo eti niibiwe mtafunga maduka wote jeshi lote litaamia hapa
Tukaanza mzozo pale pale maana alikuwa anaongea maneno ya dharau na kukera kuna jamaa pembeni yangu ana duka akanifata akaniambia acha si unajua wanajeshi hao wasije kutupiga hapa akanitoa
Asikwambie mtu kwa dunia hii ya sasa hivi ukiwa na shida sana na huoni mwanga wa maisha yaan yamekupiga aisee una develop Traumatic Psychosis ambayo hautakuwa na chakuchofia wala kuogopa maana unaona hata ukifa sawa maana huna cha kupoteza
Sasa mm nakumbuka miaka hiyo ndio nilikuwa hivyo nipo nipo sina kazi ya maana kula shida kulala shida sina mbele yaan ilibaki tupigane basi pale dukani kulikuwa kuna kisu kikali nikajisemea akanigusa yaan namtoa utumbo njee
Toka siku hiyo yule mjeda alikuwa akija pale dukani akawa ananisalimia sana na akawa rafiki angu maana hakutegemea kukutana na mtu mbishi maana siku tulibishana sana kukosa wale wenye duka wenzangu zamani sana tulikuwa tushazichapa na mm nilikuwa nimejiandaa
Wanajeshi wanataka wabadilike wamezidi ubabe sana maisha yamebadilika vijana wengi hawana kazi hawana kipato cha uhakika hana pakulala pazuri hana uhakika wa kula pazuri na umri unaenda huyu anakuwa kadevelop Traumatic Psychosis ya maisha kwann yeye anakuwa yupo hivyo ukianzisha nae ugomvi kukuuwa ni rahisi
Alivyokuwa kato mm naelewa kwakuwa nilishawahi kupitia mseto mgumu wa maisha ilibaki kidogo nifanye kama kato kwa mjeda yule ila nashkuru hakunigusa hata kidogo ilikuwa maneno ambapo tulikuwa tunaelekea huko ila wauza duka wenzangu walinitoa fasta ndio ikawa salama ya yule mjeda
 
Aisee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…