Updates za kifo cha Afande Luteni Kanali Muna aliyeuawa Kawe kwa kuchomwa kisu na dereva bajaji Kato

kwa nilizozipata chini chini ni kwamba hiki kipigo kitaendelea ndani ya siku 14 mpaka wahuni wote wa mtaa wapatikane lakini pia oparesheni hii imepewa jina nakuitwa op salaleee.

tofauti na hivyo mp canal fulani ameeleza huko kambini kkwamba watatoa ratiba ya kipigo kwa raia na watabandika majina ya askari watakao kuwa wanabadilishana shift mpaka kukamilisha siku hizo 14'

poleni sana ndugu zangu wa kawe na muwe na op njema.binafsi nakopesha nauli kwa atakae hitaji safari ya siku hizi mbili tatu
 
Mi naomba unisaidie jinsi ya kupata kisu kama hicho.

Ujinga ujinga umekuwa mwingi sana Tanzania.
 
Asante kwa taarifa nzuri sana
 
Mwamposa si yuko huko awatulize

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…