Updates za kifo cha Afande Luteni Kanali Muna aliyeuawa Kawe kwa kuchomwa kisu na dereva bajaji Kato


MPs bhana kama mazombie[emoji28] kwahiyo wakipiga raia ndo boss wao atafufuka ama?! Kuna kazi hazihitaji akili kweli nimeamini leo
 
Nasubiria update nyingine tena
Kichapo kilivyoendelea

Ova
Taarifa ikufikie kuwa hiyo adhma yao imezuiwa kumbe huu Uzi wangu Umesomwa na Mkuu wao Jeshini na hata Mama nae hivyo Mkuu wa Kikosi kaonywa ole wake Askari wake watoke tena na Leo Kupiga na Kutesa hovyo Raia wa Kawe.

Hata hivyo kuna Kikundi fulani hivi cha Vijana Wahuni ( Wezi na Wavuta Bangi ) kiitwacho Bongo Msoto ( ambacho hata Mimi GENTAMYCINE sikipendi ) leo Mchana walikamatwa na Polisi waliokuwa na baadhi ya Wanajeshi ( MP ) na mpaka muda huu nakuandikia hii post wako ndani Kawe Police Station.

Ni hayo tu Mkuu ila Kawe kuko Shwari japo kuchukua Tahadhari ni muhimu kwani Wajeda huwa hawatabiriki.

Mfano GENTAMYCINE kuna sehemu nimekaa hapa na Demu naomba Mchezo, ila nimekaa Mkao wa Ki Usain Bolf ( Mwanariadha maarufu duniani ) ili Kikinuka tu na kuwaona Vijana wa CDF Gen. Mkunda niwaachie tu Manyoya kwa Kuwakimbia wasinidake.
 
Kama kumetulia basi heri mkuu

Ila kwa tukio hilo kuna la kujifunza

Kuna mambo mengine yakikutokea

Ni ya kuyaachia na kuyapuza

Kama hapo kanali kapoteza uhai na

Jamaa wa boda ataishia jela

Ova
 
Inasemekana huyo muuaji alikamatwa maeneo ya tegeta na wamemkata mguu.gentamycine fuatilia vizuri uje kuthibitisha hapa
 
@GENTAMYCINE was just chilling, then you literally drag him by his collar to this violence, kwanini hampendi tranquility nyinyi watu?
Umaarufu wangu mkubwa, Mvuto wangu wa Kipekee hapa JamiiForums, Kubarikiwa Kwangu vingi na Mwenyezi Mungu, Maarifa makubwa niliyonayo na Uwezo wangu wa Kutukuka wa Akili na Ujengaji wa Hoja na kujua Mambo mengi ( kuwa All Rounder Person ) na Kuchambua Kwangu Matukio kumekuwa ni Chukizo kubwa kwa Wapumbavu akina Mshuza2 na Medecin huku Wakisahau kuwa Wanavyoumizwa nami na Kunionea Wivu kwa Kupendwa na Kukubalika na Great Thinkers hapa ndiyo wanazidi tu Kunipaisha.

Cc: Ghiti Milimo, Plan Master na Binadamu Mtakatifu
 
Wanajeshi waache ubabe. Kuna uzi hapa Jf uliwaonya kuacha ubabe, vinginevyo wananchi wakikasirika hawana kwa kukimbilia.
GYNTAMYCINE umeandika vizuri, lakini badili hiyo avatar. Huyo ni kichaa, kapoteza imani kwa watu. Muuwaji.
Nampenda huyo aliye katika Avatar yangu hakuna Mfano hivyo utanisamehe sitobadili hiyo Avatar abadan.
 
Inasemekana huyo muuaji alikamatwa maeneo ya tegeta na wamemkata mguu.gentamycine fuatilia vizuri uje kuthibitisha hapa
Nilifuatilie ili na Mimi nikatwe Mguu au? Wewe umeshindwa nini Kulifuatilia kivyakovyako hadi utoe Maelekezo Kwangu kama vile Unanilipa na Wewe ndiyo Boss wangu? Umenikera....!!
 
Kawe wameng'oa kiraka kwenye jinzi za bishoo tena bishoo matata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…