Updates za kifo cha Afande Luteni Kanali Muna aliyeuawa Kawe kwa kuchomwa kisu na dereva bajaji Kato

Wanasema alikuwa amepata kidogo!
Kawaida yao hao wala siyo bahati mbaya.

Wanajeshi wenzake wanafia vitani huko Russia Ukraine Gaza na Uzayuni wakipigania mambo ya msingi yeye anaenda kufia Kawe tena bar kwa kuchomwa kisu na dereva wa Bajaj kisa kaambiwa asogeze gari mwenzie apite,hii ni aibu kwa taifa angekuwa amebaki hai huyu ilibidi avuliwe vyeo vyote.
 
Ndugu kabisaa yaani
 
Wanajeshi bhana sasa ata mkipita mnapiga watu ndio huyo luteni atarudi?Nendeni huko mkutane na Kato mwingine.Kinachoauma pia kiongozi wao kauliwa na mtu wa kawaida,ndio mjifunze kuheshimu watu,wengine hawajaenda jeshi ila ni vichaa
 
Sema wanajesh huwa wanapenda ubabe Sana ,nimewahi pigishwa push up za kutosha na mabuti juu ....Kisa wamepita wanajesh watatu sijawasalimia ....
Wamepita wapi? Wewe ni mwanajeshi? Hizi ni dalili za nchi ambayo watu wake hawajastaarabika. Ni ubabe kama wanyama wa porini. BTW Tanzania raia ni waoga sana ndiyo maana wanajeshi wanafanya huu ujinga. Haya hii habari iliyotekea kama alivyosimulia mwanzisha thread basi huyo kijana anastahili nishani ya ushujaa. Ujinga gani kufanya ubabe kwa sababu wewe ni mwanajeshi. Haya ni maisha ya kizamani sana.
 
Asante sana. Ni mpmbavu sana huyo mwanajeshi. Halafu hao walitoka kambini kupiga raia ni wapumbavu zaidi. Nao walitakiwa kuuawa ili wajue dunia ya leo ni ya kistaarabu.
 
Wanajeshi wa Tanzania Bado wanaishi kwenye ndoto za jeshi la kikoloni, ubabe na ukatili Ili kuwaogopesha raia, wanajeshi inabidi wabadilike kuanzia huko kwenye kozi zao waache kuwajaza ujinga nakumbuka nikiwa JKT Kuna nyimbo tulikuwa tukiimbishwa eti ukiwa mwanajeshi unapata demu Bure, unakunywa Bure na ujinga mwingi tu tulikuwa tukiambiwa
 
Huu uwasilishani sasa. Dah 😀
 
Ahadi waliyoitoa Wanajeshi ( hasa MP wa Lugalo ) ni kwamba Leo kuanzia Saa 10 Jioni wanarejea tena kwa Oparesheni yao Kabambe na kwamba leo watapita / wataingia nyunba kwa nyumba hata kama Unaukweka ( Unakunya ) utachomolewa Chooni uje upokee Kipigo utaje Wahuni unaowajua na ukimaliza huku ukiwa na Maumivu ya Kipigo chao unarejea Chooni kuendelea na Zoezi lako la Kunya ( Kuukweka )

Hii aya nimeipenda nimecheka hadi nimejamba na kumsababishia mzungu nae kucheka. 😂 😂 😂 😂 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…