Updates za kifo cha Afande Luteni Kanali Muna aliyeuawa Kawe kwa kuchomwa kisu na dereva bajaji Kato

Updates za kifo cha Afande Luteni Kanali Muna aliyeuawa Kawe kwa kuchomwa kisu na dereva bajaji Kato

Unajifanya na ww ni kitengo!!?
kumbe ni mbibi aliyepo kwenye ndoa za mitaala kitambo
Ahsnte kwa taarifa, tutaifanyia kazi.

 
Kawaida yao hao wala siyo bahati mbaya.

Wanajeshi wenzake wanafia vitani huko Russia Ukraine Gaza na Uzayuni wakipigania mambo ya msingi yeye anaenda kufia Kawe tena bar kwa kuchomwa kisu na dereva wa Bajaj,hii ni aibu kwa taifa angekuwa amebaki hai huyu ilibidi avuliwe vyeo vyote.
Sasa mtu uko jeshini miaka 20 hata vita huijui mnapambana na raia tu mtaani

Ova
 
Unakumbuka tukio la yule conrad ambrosia,alivyowatandika risasi wale
Walinzi ambrosia
Ilimgharimu sana aise....
Haya mahasira,ambayo hayana mbele wala nyuma hayafai
Mambo ya kijinga tu yanakugharimu uhai wako,sababu zenyewe hazina kichwa wala miguu
Huyo afande na jamaa wa bajaji wote
Wapuz tu

Ova
Nilikuwepo eneo la tukio ,toka siku hiyo nimechukia silaha ,nikiona mtu ana silaha hasa bunduki huwa namshauri awe ana iacha home, ule usiku ulikua mbaya sana, mshikaji alikufa kavaa tshirt imeandikwa WHOW IS REAL ,WHOW IS FAKE nyekundu, halafu akauwaa na best yake 😭
 
Ina gudhusha sana ama Kwa hakika ni pigo kubwa sana kama Taifa tunaomboleza kumpoteza mzalendo aliejitolea Kwa hali na mali kuilinda na kuitetea nchi yake. Lakini kama tujuavyo mganga hajigangi.

Umekufa kishujaa afande kanal mwenyezi Mungu akulaze mahala pema peponi....!​
 
Ahadi waliyoitoa Wanajeshi ( hasa MP wa Lugalo ) ni kwamba Leo kuanzia Saa 10 Jioni wanarejea tena kwa Oparesheni yao Kabambe na kwamba leo watapita / wataingia nyunba kwa nyumba hata kama Unaukweka ( Unakunya ) utachomolewa Chooni uje upokee Kipigo utaje Wahuni unaowajua na ukimaliza huku ukiwa na Maumivu ya Kipigo chao unarejea Chooni kuendelea na Zoezi lako la Kunya ( Kuukweka )
 
Nilikuwepo eneo la tukio ,toka siku hiyo nimechukia silaha ,nikiona mtu ana silaha hasa bunduki huwa namshauri awe ana iacha home, ule usiku ulikua mbaya sana, mshikaji alikufa kavaa tshirt imeandikwa WHOW IS REAL ,WHOW IS FAKE nyekundu, halafu akauwaa na best yake [emoji24]
Kwa sisi tuliyopagana vita vingi na kukutana na visanga vingi
Tushaamua kunyoosha mikono juu
Unajuwa kukaa kimya ni silaha kubwa
Sana,au kusema msamahani
Maana kitu kidogo tu kinaweza kukutoa uhai wako

Ova
 
Nilikuwepo eneo la tukio ,toka siku hiyo nimechukia silaha ,nikiona mtu ana silaha hasa bunduki huwa namshauri awe ana iacha home, ule usiku ulikua mbaya sana, mshikaji alikufa kavaa tshirt imeandikwa WHOW IS REAL ,WHOW IS FAKE nyekundu, halafu akauwaa na best yake 😭
huyo dogo Conrad yupo wapi sasa hivi, naikumbuka hio issue.
 
Back
Top Bottom