Kimbuga Hidaya ni mgeni wako leo🤓.Hali halisi ngoja waulizwe watu wa Nanjilinji🤔Wakuu,ingekua vyema tukapata updates za kimbunga Hidaya kama kilivyotabiriwa hapa kwenye huu uzi.
Kwa wale walio mikoa ya pwani hali ikoje uliko..ni tahadhari gani umechukua?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Msipate mchecheto hidaya yupo room bado ndo anavaa juba/abaya lake ajipulizie na uturi ndo aje
Hidaya ni ex wa afisa wa hali ya hewa ( TMA)Hivi mlisema haya majina yanapatikanaje?!
Hidaya ni ex wa afisa wa hali ya hea ( TMA)