Kesho usiku jumamosNiko hapa Bandarini! Kuna upepo wa kawaida tu.
Hakuna cha Hidaya wala Madilu system!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kesho usiku jumamosNiko hapa Bandarini! Kuna upepo wa kawaida tu.
Hakuna cha Hidaya wala Madilu system!
Hivi anayetoa Majina ya Vimbunga huwa ni nani?
Maana safari hii tumeletewa jina la Kibantu kabisa Hidaya 🙌
Hivi Mungu hawezimkukielekeza kwa watesi wetu?Kimbunga hidaya kitaanza onekana kuanzia jumamosi ya kesho saa sita usiku hadi saa 11 asubuhi
Kama Lucas anajua atujuze tafadhaliHivi mlisema haya majina yanapatikanaje?!
Mkuu,dakika kama kumi zimepita kuna jamaa amekoswa na tawi la mwarobaini,kakimbia balaa kaacha ofisini,Dar sehemu nipo upepo unapiga hasa.Pamoja na Angalizo la Uwepo wa kimbunga Hidaya bado leo maeneo yaliyotajwa kuna Mbwiga zimepaki gari kibao chini ya Miti. Tujifunze kuchukua tahadhari wajuba.
huyu hidaya anawashwa akutanishwe na Job amkate kiuWakuu, ingekuwa vyema tukapata updates za kimbunga Hidaya kama kilivyotabiriwa hapa kwenye huu uzi.
Kwa wale walio mikoa ya pwani hali ikoje uliko? Ni tahadhari gani umechukua?
Kufuatilia hali ya kimbunga hiki mubashara bofya hapa: Live Weather Satellite Map | Zoom Earth
====
Pia soma: TMA: Uwepo wa kimbunga “Hidaya” katika bahari ya Hindi Mashariki mwa Pwani ya Mtwara
Mbona sijaona hidaya?
Mbona TMA hawajasema kama Dar nayo itaathirika!wanasema pwani TU!!Leo Dar upepo mkali sana