Updates za Mkutano wa leo Temeke

Updates za Mkutano wa leo Temeke

Nimepishana na Daladala sijui imekodishwa au ina root za huko ila imejaa watu, hasa wamama wanaimba wanataka Bandari yao, nadhani hii kitu sio ya kuwapa kina Kitenge na Mwijaku wajijibie Serikali, this is Serious issue.
Hao wamama hawajaliona katazo toka kwa Mutungi??
 
Wadau mlio karibu na eneo la tukio au mnaopita karibu na eneo hilo, nini kinaendelea muda huu kuhusiana na maandalizi na maendeleo ya mkutano wa Bandari?

Tunaomba mtupe updates za kinachoendelea kabla mkutano huo haujaanza rasimi.

Karibuni.
 
Polisi pigeni maharamia hao, vunja kabisa mkianza na viongozi wao hasa yule padri
We punguani kaa kimya. Hujitambui mgonjwa wewe.

Polisi wapo uwanjani kwaajili ya kulinda usalama.

Red Cross wapo uwanjani kwaajili ya huduma ya kwanza kwa watakaohitaji.

Watu wanaendelea kumiminika na salama za viongozi mbalimbali zinaebdelea kutolewa.

Wewe punguani, baki na uhayawani wako kwa kuwa umeamua kuishi nao. Tena usichangie chochote ukiona wenye akili wanajadili.
 
Nimepishana na Daladala sijui imekodishwa au ina root za huko ila imejaa watu, hasa wamama wanaimba wanataka Bandari yao, nadhani hii kitu sio ya kuwapa kina Kitenge na Mwijaku wajijibie Serikali, this is Serious issue.
Washakula to afu kumikumi hapo na vitenge vya sare.. hawanaga baya hao
 
Back
Top Bottom