UPDP nayo yajiondoa kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa

View attachment 1260369

Hayo yamebainishwa leo na Mh Fahmi Dovutwa alipokuwa anaongea na waandishi wa habari , ambapo amewaagiza wagombea wote wa chama hicho nchi nzima kutoshiriki uchafu huo
Dovutwa msiwe legelege, endeleeni kukaza, sisi huku majaji tushaletewa muongozo, nyie kazeni, si unaona PROF JUMA kawekwa mfukoni? hamna mfumo huru wa mahakama, state attorney wanashinda kesi hata kama hazina ushahid, baraza la kodi nsio usiseme.
 
Bado kuna vyama vile 11 vitashiriki
Punga kweli wewe, vitaje kwa majina.

CCK iliyoanzishwa na SAM SITA NA MAKONDA imejiondoa, unataka chama gani kingine.

CHADEMA ambayo "imekufa" as per CHAKUBANGA imejitoa
 
Hivi vyama siasa ni vingapi hapa Tanzania? hicho ndio nakisikia leo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…