UPDP nayo yajiondoa kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa

vyama vyenye wawakilishi bungeni, mabaraza ya madiwani .kata, mitaa na vijiji vimeshjitoa. Baadae vikafuatia vile vyama ambavyo walau viongozi wake wakuu wanafahamika.Vilivyobaki sidhani kama hata viliweza kufikisha wagombea 10 kwa ujumla wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…