Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nunuwa mashine acha kunyowa kwa kutumia kiwembe.Nasumbuliwa na mapele (upele) makubwa sana nikinyoa ndevu kwa kiwembe cha kawaida kwa mwenye kufahamu dawa au lotion yoyote ili kupunguza hali hiyo naomba aniambie