Upele a.k.a majipu

Upele a.k.a majipu

spoiler32

Member
Joined
Jul 1, 2016
Posts
12
Reaction score
2
Nasumbuliwa na mapele (upele) makubwa sana nikinyoa ndevu kwa kiwembe cha kawaida kwa mwenye kufahamu dawa au lotion yoyote ili kupunguza hali hiyo naomba aniambie
 
Acha kunyoa nyoa hovyo kila siku unaparua parua ndo shida hiyo
 
Back
Top Bottom