JOHN ze DON
Senior Member
- Feb 27, 2013
- 140
- 135
Upele kwenye mavuzi, ukiiva unatoa ki2 kama usaa nikiu2mbua unarud tena, ni ugonjwa gan huu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaponyoa huwa unatumia nini?
huwa na2mia nyembe za gillet zile ndogo ndogo.
Upele kwenye mavuzi, ukiiva unatoa ki2 kama usaa nikiu2mbua unarud tena, ni ugonjwa gan huu?
Upele kwenye mavuzi, ukiiva unatoa ki2 kama usaa nikiu2mbua unarud tena, ni ugonjwa gan huu?
Mkuu.@JOHN ze DON Nenda Hospitali kama walivyo kushauri wenzangu una maradhi yanayo tokana na Zinaa kamuone Daktari haraka akupime ili tupate kujuwa una matatizo gani yanayo kusababisha hivyo vipele vyako visipone?Bibie.@charminglady hujambo?Dr. MziziMkavu hebu kuja huku!