Upele kwenye mavuzi.

Upele kwenye mavuzi.

JOHN ze DON

Senior Member
Joined
Feb 27, 2013
Posts
140
Reaction score
135
Upele kwenye mavuzi, ukiiva unatoa ki2 kama usaa nikiu2mbua unarud tena, ni ugonjwa gan huu?
 
nenda hospitali kama kinajirudia mara kwa mara
 
hicho ni kijipu uchungu. na huwa hukitumbui vizuri ukakitoa kichwa. ushauri wangu kama uko disturbing sana kwako kiasi kwamba huwez kuwa confortable basi meza cloxacilin utakauka kabisa. inawezekana pia ni mwili wenyewe kwamba umereact kama unanyolea mashine ya aina hiyo kila mara so jitahd upate hii dawa utapona
 
Acha kunyoa kwa njia ya asili ya kuvuta na mkono.Nunua gilette na foam yake ukishindwa uwe unatumia povu la sabuni ya foma gold na kiwembe cha topaz.
 
Back
Top Bottom