Upendo kwenye Mahusiano unaupimaje?

Nafikiri wewe umefeli kama kiongozi Kwa huyo binti..
Alikuwa in love na wewe hadi akashindwa kuwa na mahusiano stable na mtu mwingine Kwa ajili yako..
Ulipaswa kumuongoza hata kama alikuwa mchepuko..aweze kuishi a decent life..

Ungemfungulia biashara au kumtafutia kazi uone kama shida zake zikipungua anakuwaje?
How come ameanza hadi kudanga na wewe upo nae still?

Aliposema alikuwa tayari kuwa hata Mke WA pili ilikuwa a big statement...wewe umeshindwa kabisa kuwa mume wake unofficially
 
Wee jamaaa kwa nini hukupiga threesome huyo binti na yule mhaya bwana?
 
Ulichosema ni kweli mkuu..lkn wakati ule anaongea hayo sikuwa na hayo mawazo kabisaa! Lkn baadae niliamua kumfanyia km unavyosema. Kwanza nilimuachisha kazi hapa kwangu, nikampangia nyumba sehemu nyingine..nikamfungulia biashara ya tigopesa. Na nilikuwa namnunulia mahitaji yake ya ndani kila kitu ili biashara yake ukue. Kitu kilichokuja kuharibu alirudiana na yule mwanaume wake wa kwanza ambaye alimpiga wakaachana. Nilipogundua kila kitu nikasitisha..!! Kuanzia hapo ndo tukabaki kama nilivyosimulia!
 
Ni rahisi sana kufanya hivyo lakini tatizo linakuna kwenye ku maintain ... Itabidi uwe unapeleka huduma zote ... Nyumba ndogo ni pasua kichwa asikwambie mtu
 
Mkuu kwa nn umesema siwezi kutumia condoms!?? Nimeona watu wengi pia kwenye michango yao wanaongelea umakini kuwa sina. Nataka niseme hapa, pamoja na udhaifu wangu huo ambao nimeusema mwenyewe, lkn haina maana kwamba me sina akili kabisaa!

Moja ya misimamo yangu kwa demu yoyote wa nje, ni matumizi ya kinga. Hili Wala sina shaka nalo kwa sababu lipo kwenye maamuzi yangu. Na kuhusu kupima mara ya mwisho nimepima kabla sijarudi dar kwenye familia yangu. Nilipima tarehe 25 mwezi march na majibu haya hapa chini. [emoji116][emoji116] Nashukuru mkuu kwa maoni yako kuhusu mikosi na Mambo mengine yanayofanana na hilo.

Kuna watu wanajifanya hapa ni watakatifu baada ya kusoma hiki nilichoandika, wanasahau kwamba wapo wenye matendo maovu zaidi yangu ila hawajaamua kujiweka hadharani..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…