Upendo kwenye Mahusiano unaupimaje?

Tofauti yako na mm ni huna wivu kwa huyo dada...huyo dada yy ni mdangaji na unachepuka wakati mkeo hana shida yyt! Hvy nakushauri piga chini huyo binti.
 
Kuna maku ukishaingiza mbor hakiyanani huchomoki kirahisi aseeeee!

Jipe mawazo ya kuachana na huyo binti ujikite kwa familia yako tu, jihakikishie unaweza na TEKELEZA kwa vitendo
 
Kiufupi Wote hamuheshimiani. Hapo siku hata akikuambukiza ugonjwa wowote huwezi kumlaumu maana atasema ulitaka mwenyewe.. Fikiria watoto wako mkuu
 
Mkuu @Son of Gamba mbona umeongea kama vile wewe umekamilika Sana? Hivi kwenye zile Amri 10 za Mungu wewe hujawahi kuvunja hata moja?
Sijasema popote kuwa mimi sijawahi kutenda dhambi. Kwa kifupi tu hata mimi pia nilikuwa "mzinzi na muasherati" kama yeye, lakini baada ya kufundishwa kuhusu Ufalme wa MUNGU, nilitubu na kuacha kabisa njia zangu chafu.

Kwetu sisi Wakristo tunaamini tukitubu na kuacha basi tunaokolewa kwa Imani ya YESU KRISTO na siyo matendo yetu.

Ndiyo maana nimemshauri, atubu na aache kabisa zinaa.
 
Muoe ndo atatulia
 
Kwanini usioe kabisa huyo mdada?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…