Upendo, Muda na urafiki

Upendo, Muda na urafiki

Hemedy Jr Junior

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2023
Posts
915
Reaction score
1,082
FAHAMU MAMBO MATATU(3) KWENYE MAISHA
HAPA DUNIANI.
[ ] MUDA.
[ ] URAFIKI.
[ ] UPENDO.

• habari za wakati huu... Kijana unatumia vipi muda wako katika (nyakati hizi) Muda ni mali aya muda unakuwaje mali sasa maana muda wote tuko bize mitandaoni vipi tunatumia mitandao kufanya mambo SAHIHI au ndo kupoteza muda na kubaki na hali duni. Maendeleo yako ndo maendeleo ya mwenzako ukilitambua ilo nadhani usingetumia muda wako vibaya.
• Binadamu hatufiki kwasababu hatuna (UPENDO) wa kweli kwanini? Asilimia kubwa Afrika tunaubaguzi, ubinafsi na roho mbaya _mtu akijaribu kuzungumzia mambo ya msingi ili aweze kuwajenga watu, watu fulani uona kam anawaaribia . Ndo maana watu wenye maono wanakuwaga wachache...Maono pia ni kipawa sio kila binadamu ana maono.
• Unapopata nafasi kijana kama kijana unatakiwa ujiulize NYUMA yangu kuna nani, nifanye nini me nimepata ila kuna mwingine kakosa hii nafasi ok kidogo nilichopata ngoja nifungue kibiashara nimuajiri mtu nae apate ridhiki(kwa huyo mtu uliyemuajiri nae atashukhuru kwasababu uko nyuma yake kuna watu wanamtegemea so we umemsaidia mmoja ila utakuta umewasaidia zaidi ya watu 10(kumi)
• We kama huna upendo na moyo wa huruma hapa utaona kama naongea upuuzi ila tambua (mali watu) wala sio vitu. Unapopata nafasi jaribu kuwa na moyo wa kipekee ata usipomsaidia mtu kwa ela ushauri nimoja ya mchango mkubwa tu.
[ ] Unapokuwa na marafiki wenye maono nadhani mtajadili mambo ya maendeleo na kubadilishan mawazo , | nadhani vijana tunafelishana wenyewe so tujadili kubadili mitazamo yetu (Tambua we unapoyumba kuna mtu mwingine anayumba so tujadili mambo yenye kuleta tija Umaskini sio mzuri na ukiona unafurahi kuon mwenzako anateseka na kunyanyasika tambua We utakuwa ni mchawi tu. Yaani unafurahi mwenzako kufeli...
[ ] Kwa leo ngoja niishie hapo ila tubadilike vijana tuna umaskini wa kifikra ila tukielimika nadhani hatutokuwa wa kulialia maana...kuna wee kuna yule.. we kama umebahatika kuzaliwa kwa familia fulani hivi (Muombe Mungu akuongoze vyema aisee life is change ..... and having more challenge....
[ ] .............. Kimodomsafi ...............
 
Yesu ndio pendo. Alitupenda upeo hata akafa msalabani kwa ajili yetu
 
Back
Top Bottom