Upendo ndio nini? Dunia imekosa Upendo ila ina kila kitu

Upendo ndio nini? Dunia imekosa Upendo ila ina kila kitu

wasumu

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2015
Posts
2,460
Reaction score
2,278
Binadamu tupo busy na mambo ambayo hayana msingi tunawaza kula kufanya mapenz kulala Tabia zote za mnyama kupigana kuuana Dunia ina kila kitu lakini imekosa upendo hatuna upendo kuanzia kwenye Familia mpaka Serikali zote duniani
BINADAMU
tupo busy na kufukuzana na panya wakati Nyumba yetu inaunguliwa na moto badala ya kuzima moto Tunafukuzana na panya
Angalizo dunia wakati huu ni wakat wa hatari sana laiti tungejua wala Upendo ndiyo ingekuwa silaha kubwa kwetu sote dunia yetu na wanyama wote Aman upendo vingetawala ila kuna
JANGA LITAMFANYA BINADAMU AISHI KWA UPENDO HATA UWE NA NGUVU VIPI NJAA NI BINGWA KULIKO UNATAMBUA WEWE TUISHI KWA KUPENDANA ILI UPATE KUOKOLEWA OOO POWER
 
Attachments

  • FB_IMG_1751541988279.jpg
    FB_IMG_1751541988279.jpg
    31.1 KB · Views: 29
Ever since the fall in the garden of Eden, the whole of creation has been in a State of decay, as the Lord God separated himself from his creation, and let it go through the process of learning Good and Bad. It is not a pretty process.

Not much good is there when the Lord is not there, because only God is Good.

At his set time he will return to redeem his creation and set everything new, getting rid of all the bad.

All the bad that each one of us has personally caused in God's creation has been paid for in full by the perfect sacrifice, the Lamb of God, the Lord Jesus Christ. Because he is a Just God, all the bad has to be paid. He himself paid it all.

All that is required to reunite with our Lord and dwell with him forever in his creation where only Good will flourish is FAITH in the sacrifice.

Those rejecting the sacrifice are ultimately rejecting the payment of their debts, hence rejecting reconciliation with the Lord God, therefore they will be eternally separated from him❗
 
Kweli? Mbona CCM inadai Tanzania ina amani nyingi/pomoni hadi nyingine inamwagika?
 
Ever since the fall in the garden of Eden, the whole of creation has been in a State of decay, as the Lord God separated himself from his creation, and let it go through the process of learning Good and Bad. It is not a pretty process.

Not much good is there when the Lord is not there, because only God is Good.

At his set time he will return to redeem his creation and set everything new, getting rid of all the bad.

All the bad that each one of us has personally caused in God's creation has been paid for in full by the perfect sacrifice, the Lamb of God, the Lord Jesus Christ. Because he is a Just God, all the bad has to be paid. He himself paid it all.

All that is required to reunite with our Lord and dwell with him forever in his creation where only Good will flourish is FAITH in the sacrifice.
yes its true but tragically all people christians muslims pagans most of people they dont know that God in human form is here in earth physically he comes to rule GOD KINGDOM [YEHOVAH GOD AND HIS CHRIST]
 
Attachments

  • Screenshot_20250705_152243_BCS Everlasting Gospel.jpg
    Screenshot_20250705_152243_BCS Everlasting Gospel.jpg
    251.3 KB · Views: 25
yes its true but tragically all people christians muslims pagans most of people they dont know that God in human form is here in earth physically he comes to rule GOD KINGDOM [YEHOVAH GOD AND HIS CHRIST]
What book is this, we go by the Lord's word, the bible ONLY❗
 
Kweli? Mbona CCM inadai Tanzania ina amani nyingi/pomoni hadi nyingine inamwagika?
Hakuna Amani ni vifo kila sehemu ni mapigano binadamu akijifunza nini maana ya upendo kusingekuwa na umaskini ndio maana Mungu mwenyewe kaja ili aondoe mamlaka za giza kwa kuwa hawatawali kwa upendo
mfano nchi au serikali inawekeza mabilioni ya dola katika kutengeneza mabomu ya kuwaua binadamu wakat kuna nchi mbalimbali wananchi wanamajanga ya njaaa hatupo serious kabisa yaan
Tupo busy kufukuzana na panya wakati nyumba inaungua Subilia uone kinachokuja kila mtu atajua ni lazima kuishi kwa Upendo ndiko kutamwokoa dini ya ukweli ni Upendo
 
Attachments

  • Screenshot_20250705_152436_BCS Everlasting Gospel.jpg
    Screenshot_20250705_152436_BCS Everlasting Gospel.jpg
    271.6 KB · Views: 25
So u think bible is only the book which talk about God?
Jesus is the light. What association does light have with darkness! ! You'll end up with the doctrines of demons we were warned about.

Ndomana wakristo wamekuwa kama waganga wa kienyeji siku hizi because of mixing bible knowledge with knowledge from pagan sources.
 
Who is jesus christ huyo Yesu kristo unajua alisulubiwa kwa nini alikuwa myahudi mweusi ndio maana hakupendwa na wayahudi sio ivyo tu kwan waliamini ndiye Kristo ? dini ya uyahudi viongozi wao kwan waliamini ? hapana hata kidogo walijua ni binadamu wa kawaida Kwani hata akirudi sasa hivi we unafikiria dini zitaamini ndiye yeye amerudi? tatizo watu ni vipofu maandiko yenyewe yanasema atakuja kama mwizi ?
 
Inashangaza sana
YES HAKUNA UPENDO HAKUNA DINI INAYOMJUA MUNGU BILA KUJIFUNZA KUTENDA MAMBO YANAYOHITAJIKA KATIKA UPENDO LEO WATU WANAUANA WANAUA WANYAMA KAMA CHAKULA HALAFU WAMJUE MUNGU WATU WANA MASIHARA SANA UJUE ....MUNGU NI UPENDO MUNGU NI UMOJA NA WANYAMA MITI UPEPO VYOTE VINAVYOONEKANA ILA UKIZUNGUMZIA SUALA LA ULAJI NYAMA NAN ATAKUELEWA TUSUBILIE DOOM CALAMIT HAKUNA MTU HATAJUA MUNGU NDIO MMLIKI WA DUNIA HII
 
love of carnal things and materials things we are in the prison of materials we are fighting mating agry telling lies for quest of carnality
 
Who is jesus christ huyo Yesu kristo unajua alisulubiwa kwa nini alikuwa myahudi mweusi ndio maana hakupendwa na wayahudi sio ivyo tu kwan waliamini ndiye Kristo ? dini ya uyahudi viongozi wao kwan waliamini ? hapana hata kidogo walijua ni binadamu wa kawaida Kwani hata akirudi sasa hivi we unafikiria dini zitaamini ndiye yeye amerudi? tatizo watu ni vipofu maandiko yenyewe yanasema atakuja kama mwizi ?
Jesus Christ walked on earth, Did great miracles, Died and Resurrected from the dead!

His first followers who were all Jews died terrible deaths to defend this Truth. Simply announcing Jesus' Ressurection took the life of hundreds in the first century alone, followed by thousands in the next century.

These are historical facts that I've personally proved to be true beyond reasonable doubt.

Having said that, some people saw with their own eyes all that Jesus did and refused to accept who he said he was. Some said he worked for the devil.

Some of us in the 21st Century have yet to see Jesus' face and we have accepted who he said he was.

Jesus talked about this funny phenomenon.

Now, it is Good that some Jews refused their own Messiah, for it made way of us in other nations to know him. The whole earth will be filled with the news about the Messiah before his return. These very Jews who rejected him will cry for the Lord Jesus on the last day THEN he will set foot in Jerusalem, all eyes will see him. The Jews will be jealous as the whole world knew the Messiah and they, the chosen ones didn't. They will be jealous. (THESE ARE NOT MY WORDS I'M QUOTING SCRIPTURE).

When he returns that's the Kingdom of God officially setting on earth, some will never accept Jesus to their deaths, hence will be eternally separated from the Lord.

There will be last day beleivers on Jesus' return but will unfortunately get into the Kingdom with mortal bodies. (They have hope too, another topic)

Good News is you don't have to be a last day beleiver.

I suggest you start over with finding out who Jesus really was!

You could start here.

May the Lord Bless you, and us.

Bye.
 
Back
Top Bottom