Upendo Nkone anyooshwa na walokole wa DRC

Kasiano Muyenzi

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2018
Posts
13,858
Reaction score
22,729
Amesema mwenyewe;

"Basi nimepata mwaliko mwingine wa kwenda kuhudumu congo [emoji120][emoji120].

Wakasema tunaomba picha ya matangazo, nikawatumia picha nyingi wachague. Wakanijibu hawazipendi maana nimevaa mahereni na macheni [emoji24][emoji24], wenyewe wanaita (mabishuu) wakasema wanataka niwatumie picha ambayo nimefunika kichwa na nisivae cheni wala herenii [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Mtihani mzitooo. Sikuwa na namna imebidi nikaipige picha wanayotaka na tayari nimewatumia. Duuu makanisa ya Kipentecoste ni balaa. Wamejua kuninyoosha [emoji1787][emoji1787][emoji122]..

Ngoja sasa uone wale wanaonionyaga nisivae hereni wala cheni leo watakavyotitirika hap,a maana wamepata wenzao."

Source: Facebook account ya Upendo Nkone.

Waimba gospel mnaotumia mkorogo piteni hapa mjifunze kitu kwa huyu mama.
 
Nampenda Sana huyu Dada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…