Upendo Nkone anyooshwa na walokole wa DRC

Upendo Nkone anyooshwa na walokole wa DRC

Ila maisha ya Kwenye Tv na Media ni ya Kipumbavu sana, Enzi hizo kabla Sijafika jiji la Chalamila kwa Sasa, nilikuwa nikimfuatlia Kakobe kwenye Tv akiwa anafundisha kanisani kwake apo Pembeni na Mlimani city nilijua ni Bonge la Kanisa na Pengine hata Waumini Maelefu kwa maelefu wangeweza kusali humo, nilivyokuja kupajua live Sikuamini tena kitu ya Kuona kwenye Tv.

Kua uyaone. Na bado utayaona mengi.
 
Ulikosea sana kupokea rushwa ya buku huku ukikosa mamilioni ya hela kwa kushindwa kumpiga picha huyo mchoma mahindi 😂
Nampenda sana yule kijana, alipoanza kulia tu ilinitachi sana...afu skuona ntafaidika nini na hiyo picha, hayo mamilion ningeyatengenezaje?
 
Ungelipwa na Lulu baada ya kumpatia picha za mpenzi wake aliyetoweka kimiujiza kumbe yupo Nzega anachoma mahindi, aki ungekuwa milionea.
Amna..nmekutana nae mwaka jana tu apo,Lulu alkuw keshatoka gerezan
 
Amesema mwenyewe;

"Basi nimepata mwaliko mwingine wa kwenda kuhudumu congo [emoji120][emoji120].

Wakasema tunaomba picha ya matangazo, nikawatumia picha nyingi wachague. Wakanijibu hawazipendi maana nimevaa mahereni na macheni [emoji24][emoji24], wenyewe wanaita (mabishuu) wakasema wanataka niwatumie picha ambayo nimefunika kichwa na nisivae cheni wala herenii [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Mtihani mzitooo. Sikuwa na namna imebidi nikaipige picha wanayotaka na tayari nimewatumia. Duuu makanisa ya Kipentecoste ni balaa. Wamejua kuninyoosha [emoji1787][emoji1787][emoji122]..

Ngoja sasa uone wale wanaonionyaga nisivae hereni wala cheni leo watakavyotitirika hap,a maana wamepata wenzao."

Source: Facebook account ya Upendo Nkone.

Waimba gospel mnaotumia mkorogo piteni hapa mjifunze kitu kwa huyu mama.
View attachment 2656431
Hapa ndio umeoendeza sasa!
 
Back
Top Bottom