Upendo Nkone anyooshwa na walokole wa DRC

Bado unatumia Facebook? Huko zimejaa fake account tupu hakuna msanii Wala kiongozi mkubwa wa kisiasa anatumia Facebook
😀😀Kutumia Facebook inahitaji umakini sana,Kuna account verified kabisa ila ni fake na Kuna wahuni wanakazi ya kukuza account fake za watu maarufu waliochelewa au hawana kabisa page Facebook na Kisha wanakuja kuwauzia hao hao wasanii
 
Nadhani umakini unahitajika unapotumia kila mtandao na sio Facebook tu.

Katika mitandao kuna majambazi wasio tumia bunduki wengi sana na hatari kuliko hata magaidi.

Hao majambazi wapo tena ni jinsia zote, ukizubaa tu unalizwa.
 
Congo hii ya akina Alka Mumba ambayo watu wanakata uno bila shida
Uno lilikatwa na king David huko uyahudi hadi nguo ikamvuka akabaki naked kabisa 😂

Hayo mauno ya Congo yanayokatwa bila nguo kuwavuka wakata uno ni ya kitoto tu hayo 😂
 
Alikata uno mpaka mke akamdharau
Nikukumbushe tu mkuu
Sheria nyingi za makanisa yakilokole ni za kwao siyo za Mungu.
 
Back
Top Bottom