Mapambano ananufaika mzee wa mansion tu, bora amechagua njia yakeUmeacha mapambano ukiwa bado kijana sana, tena umekata tamaa tukiwa tunaelekea kwenye kilele cha Mafanikio.
Wakatti tunaandamana wote kupinga Mauaji ya Mwangosi, Emmanuel Nchimbi alikuwa mhusika, akishirikiana na Michael Kamuhanda.
Tunakutakia kila la heri
Akilinganishwa na Tulia Akson. Au nasema uwongo ndugu zangu?Unamlinganisha na nani?
Tafuta watu waliopita hapo wakwambie sebuleni kulivyo!
Wahenga wanasema Jeneza kwa nje lina chokaa na tiles ndani kuna mifupa inanuka.
Huyu siyo kijana ,kamaliza kidato Cha Sita 2007 hawezi kuwa kijana.Umeacha mapambano ukiwa bado kijana sana, tena umekata tamaa tukiwa tunaelekea kwenye kilele cha Mafanikio.
Wakatti tunaandamana wote kupinga Mauaji ya Mwangosi, Emmanuel Nchimbi alikuwa mhusika, akishirikiana na Michael Kamuhanda.
Tunakutakia kila la heri
Huyu siyo COVID 19.Covid -19 wote ni CCM, wanashindwa kukabidhiwa kadi kwa sasa maana itabidi CHADEMA iteue wapya, but inafahamka hata na mtoto mdogo.
Chadema mliisha mfukuza,kwani kamati kuu ilivyowavua uanachama hao wamama na kuwaita COVID-19 ulikuwa wapi?ndio maana tunasema chadema sio chama cha Siasa bali wajasilisiasa, viongozi hawajui wamuondoe nani wabaki na yupi,mwisho wa siku chama kitabaki na akina Mdude wazee wa ndio mzee, Sasahivi bado kidogo Mdee na wezake, Chadema kimekuwa chama cha kuibua vipaji vya wanasiasa machachali na kuwaachia kuondoka.Duuh huyu dada kanishangaza, yaani anaenda kujiunga na waliompora kura 2020? Dah ajabu sana. Anasahau walimuua Mawazo hapo hapo Geita leo hii anamgeuka kwa kuungana na wauwaji.
Inasikitisha sana, anawaza zaidi maisha yake na bwanaze kuliko Watanganyika.Umeacha mapambano ukiwa bado kijana sana, tena umekata tamaa tukiwa tunaelekea kwenye kilele cha Mafanikio.
Wakatti tunaandamana wote kupinga Mauaji ya Mwangosi, Emmanuel Nchimbi alikuwa mhusika, akishirikiana na Michael Kamuhanda.
Tunakutakia kila la heri
Inawezekana hata wewe ni Malaya tuSiasa kama Mapenzi tu na Wabunge wa viti maalum kama Madanga(tabia za kimalayamalaya) tu wanahamia palipo na uhakika wa Pesa/teuzi.
Hoja ya chadema ya kuondoa mfumo wa viti maalum na kuwaingiza wanawake katika mchuono wa kawaida itasaidia sana kuondoa wanawake wa hovyo hovyo wenye tabia za kimalayamalaya bungeni.
Ataachaje na mtu akienda CCM anawehuka?Nataka kujua nae ameiponda CHADEMA hadharani?
Inasikitisha sana aisee Itakuwa kanunuliwa huyoUmeacha mapambano ukiwa bado kijana sana, tena umekata tamaa tukiwa tunaelekea kwenye kilele cha Mafanikio.
Wakatti tunaandamana wote kupinga Mauaji ya Mwangosi, Emmanuel Nchimbi alikuwa mhusika, akishirikiana na Michael Kamuhanda.
Tunakutakia kila la heri
Bado uko miaka 9 iliyopita 🐼Yaani mtu akihama anakuwa makapi?Je Edward Lowassa alipohamia Chadema na hata kuwa mgombea wa Chadema alikuwa makapi?Inaleta picha gani chama kinachagua so called makapi kuwa mgombea.Au anakuwa makapi akitoka Chadema tu akihamia anakuwa muhimu?
Upendo ana haki yake kikatiba kuchagua chama anachoona kinamfaa.
Katika ujumla wa yote hayo, tuhitimshe kwa pamoja, siasa za Tanzania zinazidi kurudi nyuma, badala ya kusonga mbele.Yaani mtu akihama anakuwa makapi?Je Edward Lowassa alipohamia Chadema na hata kuwa mgombea wa Chadema alikuwa makapi?Inaleta picha gani chama kinachagua so called makapi kuwa mgombea.Au anakuwa makapi akitoka Chadema tu, akihamia Chadema anakuwa muhimu?
Upendo ana haki yake kikatiba kuchagua chama anachoona kinamfaa.
Kwa hiyo mantiki yako ya makapi ina expire baada ya muda?Bado uko miaka 9 iliyopita 🐼