Pre GE2025 Upendo Peneza ahamia CCM, awananga CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Haya 😂😂😂
 
Upendo peneza sio Covid 19 ndio maana nashangaa kwanini alikataa kujiunga na kina Halima ila kaishia kwenda CCM for no reason.

Yaani aliacha fursa ya ubunge wa wizi anahamia CCM akiwa normal person!! Duh kajichanganya sana kama Juliana shonza
 
Nadhani anatayarishwa kwa ajili ya kupewa jimbo! Au ubunge wa kuteuliwa!
 
Umechanganya mafaili hajafukuzwa . Umedandia gari kwa mbele.
 
Atakuwa kahaidiwa kijinafasi

Ova
CCM wamefika bei si unajua huko yamejaa mapooza tu ndiyo maana kila siku wana recycle watu wale wale wameona atawafaa . Kachukua mpunga mrefu tu na ahadi ya cheo akiwaacha akina Lucas mwashambwa wanasota tu humu
 
Angalia hapa mzee Mdee alivyokuwa anamwaga chozi kwa kuibiwa kura halafu kaenda huko huko,mwalimu wao kipofuView attachment 2880426
Hii picha ilinigusa sana na kufanya nimfikirie sana Halima. Naamini tokea hapo hadi alipo sasa limekuwa badiliko kuu (turning point) ya maisha yake. Sidhani kama hadi leo ana amani kamili ndani yake. Alipoteza tunu kubwa sana sana!
 
Huyo anayempa masifa hivyo anajua ya kesho yake au hajajifunza kwa aliyepita..
 
Kahamia CCM lakini anajiona mwanachadema bado😀😀
 
Amemezeshwa desa. Haya ni yaleyale walioyosema kina LIJUA LIKALI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…