Pre GE2025 Upendo Peneza awahamasisha wanachadema sasa waandamane kuelekea ofisi za chama chao kupinga rushwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Kumekucha! Maguzu masese.

Upendo Peneza ana hoja, kwamba, kwa muda mrefu wanachadema wamekuwa wakiandamana kwa kuisingizia serikali kwamba kuna rushwa ndani yake.

Upendo Peneza anasema, kwa kuwa ndani ya Chadema imethibitika pamevunda na kuoza kwa rushwa, basi maandamano ya wanachadema yaelekee ofisi za makao makuu ya chama.

Screenshot_20240521-081001.jpg
 
View attachment 2995704

Yupo kwenye SiSIEMu Project ,aishangazi ,mwache aendelee kufanya kazi ya upande wa pili.
 
Hahaha!! Kweli uchaguzi umekalibia!!

KAZI ni kipimo cha UTU
 
Kumekucha! Maguzu masese.

Upendo Peneza ana hoja, kwamba, kwa muda mrefu wanachadema wamekuwa wakiandamana kwa kuisingizia serikali kwamba kuna rushwa ndani yake.

Upendo Peneza anasema, kwa kuwa ndani ya Chadema imethibitika pamevunda na kuoza kwa rushwa, basi maandamano ya wanachadema yaelekee ofisi za makao makuu ya chama.

View attachment 2995704
Haka ka dada, sasa, yaani badala ya kueleza Sera za, CCM, bado, tu kanaishambulia chadema, hakana ajenda nyingine?
Kakasome report ya CAG kaone ufisadi wa CCM, stupid girl
 
Attachments

Ukweli lazima usemwe
 
Kumekucha! Maguzu masese.

Upendo Peneza ana hoja, kwamba, kwa muda mrefu wanachadema wamekuwa wakiandamana kwa kuisingizia serikali kwamba kuna rushwa ndani yake.

Upendo Peneza anasema, kwa kuwa ndani ya Chadema imethibitika pamevunda na kuoza kwa rushwa, basi maandamano ya wanachadema yaelekee ofisi za makao makuu ya chama.

View attachment 2995704
Ukitukana chadema ndo unakuwa relevant ndani ya ccm
 
Kumekucha! Maguzu masese.

Upendo Peneza ana hoja, kwamba, kwa muda mrefu wanachadema wamekuwa wakiandamana kwa kuisingizia serikali kwamba kuna rushwa ndani yake.

Upendo Peneza anasema, kwa kuwa ndani ya Chadema imethibitika pamevunda na kuoza kwa rushwa, basi maandamano ya wanachadema yaelekee ofisi za makao makuu ya chama.

View attachment 2995704
Hiyo sura tu anaonyesha yuko stressed. Za ndaaani kabisa mke wa Dotto amestukia ishu ya wawili hao kuvunja amri ya sita
 
Kumekucha! Maguzu masese.

Upendo Peneza ana hoja, kwamba, kwa muda mrefu wanachadema wamekuwa wakiandamana kwa kuisingizia serikali kwamba kuna rushwa ndani yake.

Upendo Peneza anasema, kwa kuwa ndani ya Chadema imethibitika pamevunda na kuoza kwa rushwa, basi maandamano ya wanachadema yaelekee ofisi za makao makuu ya chama.

View attachment 2995704
Ndo maana huwa nazichukia sana sana siasa za bongo na wasiasa wake!yaani umehama chama sijui CCM sijui CHADEMA et al. bado unakua unakisemasema kile chama ulichohama, ya nn sasa??umehama just relax fanya yaliyo ktk chama chako kipya!why uanze kukinanga chama ulichotoka!useless politician hawa!!
kwetu tunafundishwa "USITEMEE MATE SAHANI UNAYOLIA CHAKULA"
 
Kumekucha! Maguzu masese.

Upendo Peneza ana hoja, kwamba, kwa muda mrefu wanachadema wamekuwa wakiandamana kwa kuisingizia serikali kwamba kuna rushwa ndani yake.

Upendo Peneza anasema, kwa kuwa ndani ya Chadema imethibitika pamevunda na kuoza kwa rushwa, basi maandamano ya wanachadema yaelekee ofisi za makao makuu ya chama.

View attachment 2995704
Afya ya akili ni tatizo kubwa sana.
 
Kumekucha! Maguzu masese.

Upendo Peneza ana hoja, kwamba, kwa muda mrefu wanachadema wamekuwa wakiandamana kwa kuisingizia serikali kwamba kuna rushwa ndani yake.

Upendo Peneza anasema, kwa kuwa ndani ya Chadema imethibitika pamevunda na kuoza kwa rushwa, basi maandamano ya wanachadema yaelekee ofisi za makao makuu ya chama.

View attachment 2995704
Huyu kajizima data, njaa mbaya sana
 
Back
Top Bottom