Pre GE2025 Upendo Peneza awahamasisha wanachadema sasa waandamane kuelekea ofisi za chama chao kupinga rushwa

Pre GE2025 Upendo Peneza awahamasisha wanachadema sasa waandamane kuelekea ofisi za chama chao kupinga rushwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Haka kadada kanadhani kua kana nguvu na ushawishi wa kuwahamasisha wana chadema wafate ujinga wake? Kanafukuzia teuzi kwa kujiaibisha na kujidhalilisha
 
Huyu anatafuta cheo huko kwa nguvu .....na ili huko ccm wamuone na wamsikie lazima awe anaishambulia chadema

Ova
Waliozaliwa na kulelewa ndani ya ccm wako wengi sana lkn mpk leo hawajapewa vyeo. Huyu aliyekatika mkia asahau mazima. Jiwe ndiyo alikuwa na upumbavu huu wa kuwaruka wanaccm halisi na kuwaoa vyeo makapi ya vyama vingine.
 
Anatafuta jimbo kupitia CCM! Maana 2025 ndiyo mwisho wa Covid-19! Niseme tu kule anaenda kukaa benchi.Kama wao kule wanatwangana kupata majimbo sijui yeye!
Anyway hatakosa teuzi baada ya 2025!
 
Huyu anatafuta cheo huko kwa nguvu .....na ili huko ccm wamuone na wamsikie lazima awe anaishambulia chadema

Ova

Yap kwasisi tuliyaona hayo ni wa kumpuuza maana wengi walifanya kama yeye so hakuna jipya tutalipata kutoka kwake ,yeye peneza atimize majukumu aliyopewa na sisiemu then apate ukuu wa wilaya maisha yaendelee.
 
Anapigania tumbo lake maana kutoka kwenye ubunge alafu Huna nafasi tena si mchezo
Apambane kweli apate kiposti chochote 😄

Ova
 
Kwahiyo huko aliko CCM ndio kusafi hakuna Rushwa?

Alipaswa kutuambia Watanzania kuandamana dhidi ya Serikali ya CCM kupinga Rushwa na matumizi ya hovyo ya mali za umma, wizi uliokithiri, kukopakopa hovyo nk.
 
Back
Top Bottom