Pre GE2025 Upendo Peneza awahamasisha wanachadema sasa waandamane kuelekea ofisi za chama chao kupinga rushwa

Pre GE2025 Upendo Peneza awahamasisha wanachadema sasa waandamane kuelekea ofisi za chama chao kupinga rushwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wanasiasa wote ambao huwa wanavichafua vyama walivyovihama huwa wanapotea na hatimaye kufa kabisa kisiasa.

Ni suala la muda tu Upendo Peneza itabaki stori.
Ana elimu kubwa sana, anaweza kuwa hata mkurugenzi wa taasisi kubwa sana hapa nchini, ukiacha mambo ya siasa, ni mtu makini sana
 
Kumekucha! Maguzu masese.

Upendo Peneza ana hoja, kwamba, kwa muda mrefu wanachadema wamekuwa wakiandamana kwa kuisingizia serikali kwamba kuna rushwa ndani yake.

Upendo Peneza anasema, kwa kuwa ndani ya Chadema imethibitika pamevunda na kuoza kwa rushwa, basi maandamano ya wanachadema yaelekee ofisi za makao makuu ya chama.

View attachment 2995704
huyu dada yuko kwenye non stop menstruation
 
Kumekucha! Maguzu masese.

Upendo Peneza ana hoja, kwamba, kwa muda mrefu wanachadema wamekuwa wakiandamana kwa kuisingizia serikali kwamba kuna rushwa ndani yake.

Upendo Peneza anasema, kwa kuwa ndani ya Chadema imethibitika pamevunda na kuoza kwa rushwa, basi maandamano ya wanachadema yaelekee ofisi za makao makuu ya chama.

View attachment 2995704
Kapandisha nyege.Hana akili.Kahamia CCM lakini kipele cha kalio kinamtuma akajikunie CDM!
 
Wenzake waliounga juhudi waliropoka eeh wakachoka nae atachoka tu
 
Ni vema Upendo akawashauri wana CCM waache kupeleka fedha za rushwa Chadema kwa kuwa wamekwisha stukiwa. Awaeleze CCM dili la kuisambaratisha Chadema kupitia fedha zao limebuma!
 
Ana elimu kubwa sana, anaweza kuwa hata mkurugenzi wa taasisi kubwa sana hapa nchini, ukiacha mambo ya siasa, ni mtu makini sana
Hakuna mtu makini wa hivi mkuu. Wenye akili wote watakwambia, she is cheap.
 
Back
Top Bottom