Njaa na uzalendo wapi na wapiMzalendo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njaa na uzalendo wapi na wapiMzalendo
Na chama kama taasisi? Au na watu individuals?Ila alitukanwa!
Chadema hawana muda naye wanampotezea tuNaomba sana Chadema wasimjibu maana ni kama ametumwa na matakataka.
Mimi namshauri awaambie makada wenzake Halima Mdee na genge lake wakome kuleta hela chafu toka CCM, na hizo walizoleta zimeliwa na hoja ya wao kusamehewa imekataliwa.Kumekucha! Maguzu masese.
Upendo Peneza ana hoja, kwamba, kwa muda mrefu wanachadema wamekuwa wakiandamana kwa kuisingizia serikali kwamba kuna rushwa ndani yake.
Upendo Peneza anasema, kwa kuwa ndani ya Chadema imethibitika pamevunda na kuoza kwa rushwa, basi maandamano ya wanachadema yaelekee ofisi za makao makuu ya chama.
View attachment 2995704
Na watu wa chama kama taasisi bila watu haiwezi kuwa taasisi!Na chama kama taasisi? Au na watu
mchango wa hiari,toa ndugu toaaa ulichonacho nawe Mungu atakubarikiYeye kuchangia Gari mpya ya Tundu Antipas Lisu siyo rushwa? 🐼
bishangazi naona kawekewa mafuta full tankiKumekucha! Maguzu masese.
Upendo Peneza ana hoja, kwamba, kwa muda mrefu wanachadema wamekuwa wakiandamana kwa kuisingizia serikali kwamba kuna rushwa ndani yake.
Upendo Peneza anasema, kwa kuwa ndani ya Chadema imethibitika pamevunda na kuoza kwa rushwa, basi maandamano ya wanachadema yaelekee ofisi za makao makuu ya chama.
View attachment 2995704
Yaan upendo aikabe koo CDM?Namshauri awakabe koo mpaka waseme
Kukaa kimya ni jibu mujarab kwa mpumbavu.Namshauri awakabe koo mpaka waseme
CHADEMA angeiua kikwete kabla ya 2010 ila kwa ilipofikia hata jiwe angefufuka in a fair political ground hawa jamaa ni habari nyingine,hongera kwa Mbowe etalKumekucha! Maguzu masese.
Upendo Peneza ana hoja, kwamba, kwa muda mrefu wanachadema wamekuwa wakiandamana kwa kuisingizia serikali kwamba kuna rushwa ndani yake.
Upendo Peneza anasema, kwa kuwa ndani ya Chadema imethibitika pamevunda na kuoza kwa rushwa, basi maandamano ya wanachadema yaelekee ofisi za makao makuu ya chama.
View attachment 2995704
Uyu naye kaenda ccm ya chadema yanamhusu niniKumekucha! Maguzu masese.
Upendo Peneza ana hoja, kwamba, kwa muda mrefu wanachadema wamekuwa wakiandamana kwa kuisingizia serikali kwamba kuna rushwa ndani yake.
Upendo Peneza anasema, kwa kuwa ndani ya Chadema imethibitika pamevunda na kuoza kwa rushwa, basi maandamano ya wanachadema yaelekee ofisi za makao makuu ya chama.
View attachment 2995704
Huyu ndo wale aliokua akiwazungumzia Kambarage,yaani wanasiasa wenye tabia za"kimalayamalaya"Rushwa gani CHADEMA?. Na hiyo Ripoti ya CAG haioni?. CCM hawajampa attention anayoitaka ndio maana amebakia kubwatuka. Mwakani alikuwa anachukua Jimbo la Geita Mjini, sijui nani kamdanganya.
Ulikokimbilia Kuna siku utalia machozi mdogo wangu !Kumekucha! Maguzu masese.
Upendo Peneza ana hoja, kwamba, kwa muda mrefu wanachadema wamekuwa wakiandamana kwa kuisingizia serikali kwamba kuna rushwa ndani yake.
Upendo Peneza anasema, kwa kuwa ndani ya Chadema imethibitika pamevunda na kuoza kwa rushwa, basi maandamano ya wanachadema yaelekee ofisi za makao makuu ya chama.
View attachment 2995704
Na yeye Upendo alishinda kwa kura nyingi sana lakini maccm yalimfanyia hivi hivi lakini leo hii wanamtumia kukitukana chama kilichomtoa t tongotongoUlikokimbilia Kuna siku utalia machozi mdogo wangu !