Pre GE2025 Upendo Peneza: Hata sasa kupitia Nafasi niliyonayo ndani ya CHADEMA naahidi kuwatumikia!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mbunge mstaafu Upendo Peneza amesema kupitia Nafasi aliyonayo huko Chadema ataendelea kuwatumikia

Kwa sasa Upendo Peneza Msuya ni Mwanachama wa CCM pamoja na Mchungaji Msigwa

Source: Jambo TV

Hawezi kusahau chadema maana ameitumikia kwa muda mrefu na kwa kuendelea kuchapia chapia ina maanisha sisiemu alienda kwa njaa tu....Na hata livyoitaja hakustuka mpaka kupita sekunde takribani 5 ndio watu wakamwambia ndani ya CCM.
 
😂😂😂😂

Tumeshamjua
 
Mbunge mstaafu Upendo Peneza amesema kupitia Nafasi aliyonayo huko Chadema ataendelea kuwatumikia

Kwa sasa Upendo Peneza Msuya ni Mwanachama wa CCM pamoja na Mchungaji Msigwa

Source: Jambo TV
😂😂😂😂 it was slip of tongue
 
Kasema hivyo mtoa mada yupo sahii , hawa mwili upo ccm roho ipo chadema,

..Na Ccm hawawasaidii kwa namna yoyote ile ku-move on, na kuji-establish ndani ya chama hicho.

..kwa mfano, Nchimbi, na Makalla, wakibadilishwa, Upendo, na Msigwa, watakuwa na kazi / matumizi gani ndani ya Ccm?
 
Mbunge mstaafu Upendo Peneza amesema kupitia Nafasi aliyonayo huko Chadema ataendelea kuwatumikia

Kwa sasa Upendo Peneza Msuya ni Mwanachama wa CCM pamoja na Mchungaji Msigwa

Source: Jambo TV

..upendo mtoto wa kanda ya ziwa kapata mume toka kanda ya kaskazini? Hii nchi itaendelea kuwa moja siku zote.
 
Back
Top Bottom