SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Kinywa cha mtu hunena yaujazayo moyo wake. Chadema haina mpango naye ila yeye kwa vile anaujua ukweli kuwa alifuata pesa na fursa tu huko ndiyo maana kinywa kimetamka yale anayoamini moyoni mwake.