Pre GE2025 Upendo Peneza: Hata sasa kupitia Nafasi niliyonayo ndani ya CHADEMA naahidi kuwatumikia!

Pre GE2025 Upendo Peneza: Hata sasa kupitia Nafasi niliyonayo ndani ya CHADEMA naahidi kuwatumikia!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Upendo na Msigwa wana mapenzi na chama chao cha zamani pia ushawishi wao ni mdogo. Binafsi sina shida sana na Upendo apewe tu muda.. ila Msigwa na Suphian ni takataka.
 
Yaani unasell tu mkeka na goal linaingia.

Unashindwa kuelewa ubaki na msimamo upi, uwe unasell au unakomaa na tai shingoni mpaka dakika ya 90!
 
Binafsi namlaumu sana Amos kuwapokea hawa mamluki 🐼

Unaweza kudhani Upendo Peneza amekosea lakini maandiko yanasema kimtokacho mtu ndio kimejaa moyoni mwake 😃😃
Wamevuta mkwanja mrefu nyie wafia chama mnapiga miayo tu halafu wanaendelea kusifia chama chao cha zamani kwenye majukwaa ya CCM,dharau kubwa sana kwenu mboga mboga .
 
Binafsi namlaumu sana Amos kuwapokea hawa mamluki 🐼

Unaweza kudhani Upendo Peneza amekosea lakini maandiko yanasema kimtokacho mtu ndio kimejaa moyoni mwake 😃😃
Makala hawezi kuwazuia maana ni haki yao kikatiba na ni faida kwa ccm kuelekea uchaguzi mkuu na wa Serikali za mitaa.
 
Back
Top Bottom